Nashauri Paul Makonda awekwe karantini!

Nashauri Paul Makonda awekwe karantini!

Ktk hao wagonjwa kuna ndugu zako au nawe ni mgonjwa?

Senti bai yuzingi tecno T301
Wewe ndugu zako wamo na wewe ni mgonjwa mtarajiwa kwani unashiriki njama za kuficha ukweli, corona inaua ndugu zako mnasingizia magonjwa mengine, endelea kuzurula kwenye Bar club vijiweni ulikozoea kuzurula bila Tija utapata jawabu soon.
 
Wanaficha ukweli kisa wanataka pesa toka world bank hawataki Tanzania kuonekana imeathirika na janga la ulimwengu
 
Taarifa ya sasa hivi ni kuwa Abate Mkuu mstaafu wa Kambi moja ya mabruda huko mkoani Ruvuma amefariki usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalohisiwa kuwa ni corona. Vipimo vimechukuliwa kupelekwa Dar kwaajili ya uthibitisho.

Marehemu alitokea Italy, akaenda South Korea. Aliingia nchini siku 1 au 2 kabla ya karantini. Akaenda Mbeya, kisha kambi ya mabruda. Akaanza kuumwa, akatibiwa hospitali ya Peramiho kabla ya kurudi tena kambini. Jana usiku akazidiwa, akapoteza fahamu na kufariki.

Kwa sasa, kwa taarifa kutoka kwa Paroko mmoja wa parokia jirani, kambi yote ipo karantini kusubiria majibu ya vipimo.

Izingatiwe kuwa mpaka sasa ni hisia maana hakuna majibu ya vipimo yaliyopatikana kuthibitisha au kukanusha hisoa zilizopo.

Tuendelee kuchukua tahadhari za kujikinga.
 
Ni kweli kuna muda RC Makonda anaboa, ila nasi tupunguze Chuki Kwake hata zingine zisizo za Msingi kwani tumezidi na tunamuonea.
Watoto wadogo huko Tabata, Buguruni, vingunguti, Ukonga, Temeke, Kawe, Kigamboni, msasani, Kinondoni, Magomeni, mwananyamala, mazense, ubungo, mabibo, kigogo, Tegeta, Kunduchi, mwenge, Sinza, Tandale, mbagala, kurasiini, chang’ombe, ilala licha ya kuzifunga shule watoto wadogo wanajikusanya pamoja kucheza pamoja wanagusana jasho baada ya kucheza juani, hawana kinga zozote ni kama hakukuwa na haja ya kufunga shule, wenyeviti wa Serikali za mitaa wote ni wa CCM lakini hawasaidii kukemea chochote wamebariki vijiwe vya kahawa vijiwe vya kupiga soga visivyo na Tija, zoezi linakuwa gumu ndani ya Serikali hii ya Daud Bashite Naibu Rais ambaye kaamua kumpuuza waziri mkuu waziri wa Afya na kujiongelea kile ambacho kashauriwa na wapambe wake akina cyprian Musiba na Le mutuz
 
Tanzania kuna wagonjwa wengi kuliko Nchi nyingi za Afrika kwani Wachina wamekufa wengi wamezikwa kimya kimya huku wafanyakazi wao wengi wanaugulia ndani na baadhi wamekufa lakini CCM hawataki kuwatangaza kisa wanataka pesa za toka world bank
Isaidie Serikali mkuu Kwa kutoa tarifa ili kuwasaidia pia majirani zako hao
 
Taarifa ya sasa hivi ni kuwa Abate Mkuu mstaafu wa Kambi moja ya mabruda huko mkoani Ruvuma amefariki usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalohisiwa kuwa ni corona. Vipimo vimechukuliwa kupelekwa Dar kwaajili ya uthibitisho.

Marehemu alitokea Italy, akaenda South Korea. Aliingia nchini siku 1 au 2 kabla ya karantini. Akaenda Mbeya, kisha kambi ya mabruda. Akaanza kuumwa, akatibiwa hospitali ya Peramiho kabla ya kurudi tena kambini. Jana usiku akazidiwa, akapoteza fahamu na kufariki.

Kwa sasa, kwa taarifa kutoka kwa Paroko mmoja wa parokia jirani, kambi yote ipo karantini kusubiria majibu ya vipimo.

Izingatiwe kuwa mpaka sasa ni hisia maana hakuna majibu ya vipimo yaliyopatikana kuthibitisha au kukanusha hisoa zilizopo.

Tuendelee kuchukua tahadhari za kujikinga.
Daah, hii ni hatari Sana, na Kwa nini watu wanajificha hawataki kujitokeza kama wengine wanaojitokeza??
 
Taarifa ya sasa hivi ni kuwa Abate Mkuu mstaafu wa Kambi moja ya mabruda huko mkoani Ruvuma amefariki usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalohisiwa kuwa ni corona. Vipimo vimechukuliwa kupelekwa Dar kwaajili ya uthibitisho.

Marehemu alitokea Italy, akaenda South Korea. Aliingia nchini siku 1 au 2 kabla ya karantini. Akaenda Mbeya, kisha kambi ya mabruda. Akaanza kuumwa, akatibiwa hospitali ya Peramiho kabla ya kurudi tena kambini. Jana usiku akazidiwa, akapoteza fahamu na kufariki.

Kwa sasa, kwa taarifa kutoka kwa Paroko mmoja wa parokia jirani, kambi yote ipo karantini kusubiria majibu ya vipimo.

Izingatiwe kuwa mpaka sasa ni hisia maana hakuna majibu ya vipimo yaliyopatikana kuthibitisha au kukanusha hisoa zilizopo.

Tuendelee kuchukua tahadhari za kujikinga.
Wagonjwa ni wengi waziri wa Afya anaficha ukweli na pia waziri anamuogopa Naibu Rais ndugu Daud Bashite kuliko chochote ulimwenguni
 
Fanyakazi acha kulalamika mkuu! Magonjwa yapo na yataendelea kuwepo mkuu!!
Maginjwa yapo hata ukimwi upo lakini magonjwa ya kuua watu wengi kwa kasi kubwa hivi usiyafananishe na magonjwa aliyoyataja Naibu Rais Daud Bashite
 
[emoji16][emoji16][emoji16]unaitwa dokta nani mwenzetu?.
Na hospitali yako Ina wagonjwa wangapi wa corona?
Tanzania kuna wagonjwa wengi kuliko Nchi nyingi za Afrika kwani Wachina wamekufa wengi wamezikwa kimya kimya huku wafanyakazi wao wengi wanaugulia ndani na baadhi wamekufa lakini CCM hawataki kuwatangaza kisa wanataka pesa za toka world bank

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Waziri wa Afya kaogopa hata kupiga marufuku vikundi vya watoto kurundikana pamoja ataweza kusema ukweli?
 
kila mtu aangalie nchi yake Ina wagonjwa wangapi.
USITAMANI MAMBO YA NCHI NYINGINE HAYATAKUSAIDIA KITU..
FANYENI KAZI.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
[emoji16][emoji16][emoji16]unaitwa dokta nani mwenzetu?.
Na hospitali yako Ina wagonjwa wangapi wa corona?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Ukiambiwa kuna wagonjwa 100 utafanya nini? Kumkemea Daud Bashite huwezi utaweza kusaidia mgonjwa? Umeshindwa kumzuia mwanao kuzurula mitaani akicheza na wowote wengine utaweza mengine?
 
Akili zako zinafanana na jina lako la minyoo
U-ufala C-chizi D-Daima hii ndiyo maana ya UDC wewe mwenyewe ni mbumbumbu kilaza juha mwehu huna unachokijua zaidi ya kushinda gheto kwa le mutuz ukivuta Bangi , uwezo wako umefika mwisho, ulijua ukiandika hivyo utaonekana una Akili kumbe unazidi kujidhalilisha na sasa wote watajua kirefu cha UCD ni ufala chizi daima, huna hoja huna unachojua zaidi ya kuleta usumbufu mitandaoni na kutetea ujinga wa CCM, endelea kuwakusanya watoto mitaani ili corona iwatafute wakawambukuze wazazi wao wafe ili mpate kuahirisha uchaguzi.
 
Back
Top Bottom