Nashauri Paul Makonda awekwe karantini!

Nashauri Paul Makonda awekwe karantini!

90% ya watetezi wa CCM mitandaoni ni mbumbumbu hawajui kujenga Hoja kazi yao kubwa ni kuleta usumbufu tu ni Aibu kwa chama kikubwa kama CCM kuendelea kuwatumia watetezi vilaza mitandaoni
 
HIVI NI KWELI WATU HAWAELEWI HUU UZI AMA NDIYO UWEZO WETU WA KUFIKIRI ULIPOISHIA.?!
CCM badala ya kuchunguza mapungufu wasambaze Matangazo watu waache kukaa vijiweni vikundi watoto wadogo waache kucheza pamoja wamekalia kuleta usumbufu mitandaoni hawana hoja
 
Tena karantini yake iwe huku
1586094261397.png
 
Duniani kuna nchi kama 18 ambazo hazina kabisa waathirika wa Corona
Zipo nchi kama Burundi ambao wana kesi moja tu na huko falkland island ni 1
Tuna miaka kibao tunasumbuliwa na janga la TB na maambukizi ni mengi sana ila tunasubiri wazungu watuambie kuwa ni hatari halafu tuanze kusema ooh kohohoa kwa kukinga kikonyo chako what a joke

Zaidi ya watu million 3 wana TB Africa na kila mwaka wanakufa zaidi ya laki 5
Lakini huoni walioathirika watu wao wanawekwa quarantines
Miaka ya 60 na 70 anaepatikana na TB familia yote ilikuwa inapimwa na wanaopatikana walianziwa dose mapema
Leo tunasubiri wazungu watuambie osheni mikono kwa janga ambalo ndio linaanza tu
Tahadhari inatakiwa sana lakini mbona TB inatumaliza na hatujawahi kusikia matamshi mengi?
Kwa sababu wazungu wametuachia tupambane wenyewe na ni mzigo wetu
Tutumie akili na kupambana na maradhi ya aina yote kama malaria na mengine makubwa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mtu "anayekusanya" watu na kuwasihi "wasikusanyike"

Mtu anayemtangaza mgonjwa hadharani bila ridhaa ya mgonjwa tena kwa kejeli na dhihaka tukisema mtu huyo ni mpumbavu na mshenzi tunamwonea? How?!

Mbona hatuwachukii akina Anton Mtaka wa Simiyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna anaeweza kumpata naombeni ampatie hiyo link ya you tube .na sisi ni watanzania yupo ndani week ya Pili sasa .ugonjwa huu si wa kukejeli hata kidogo .ki ukweli Makonda anyamazishwe na hafai ku address hata nursery school kids . Siku hizi binadamu analosema hata akiwa wapi ajue anaiambia dunia nzima. Huyu Jamaa anatutia aibu watanzania.Binafsi kila akishika mic nahsi kwenda uani. Tusijidanganye kuwa sisi tuna immune ama ni wajanja ,siku ukipiga kambi mtajua maaana ya hili gonjwa. Ugonjwa ukikukaba mapafu yana collapse . Makonda asidhani unakuja kama gia ya ebora. Akiona 20 wanaendelea sawa hawezi kujua ukitua kwenye fragile group inakuwaje. His speech made me sick
 
Mwandishi hongera sana, bali unastahili kuzawadia "Maturity Level 5" kwa uandishi wenye hoja takatifu na zilizopangika. Naomba unisajili kwenye "team" yako, tafadhali!
 
Kama kuna anaeweza kumpata naombeni ampatie hiyo link ya you tube .na sisi ni watanzania yupo ndani week ya Pili sasa .ugonjwa huu si wa kukejeli hata kidogo .ki ukweli Makonda anyamazishwe na hafai ku address hata nursery school kids . Siku hizi binadamu analosema hata akiwa wapi ajue anaiambia dunia nzima. Huyu Jamaa anatutia aibu watanzania.Binafsi kila akishika mic nahsi kwenda uani. Tusijidanganye kuwa sisi tuna immune ama ni wajanja ,siku ukipiga kambi mtajua maaana ya hili gonjwa. Ugonjwa ukikukaba mapafu yana collapse . Makonda asidhani unakuja kama gia ya ebora. Akiona 20 wanaendelea sawa hawezi kujua ukitua kwenye fragile group inakuwaje. His speech made me sick
Huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamam Tibaijuka anasema tukifukizwa na mu40 tunaweza pona kuliko kuiga kila kitu Ghana wamepona kwa kujifukuzia muarobaini na wamepona kuliko huko Ulaya
Makonda anasema acheni woga tupige kazi jamani, maana njaa ni kitu kibaya
huu ugonjwa sisi Waafrika tutafute Tiba zake sio kusubiri Mabeberu watuletee
 
Ktk hao wagonjwa kuna ndugu zako au nawe ni mgonjwa?

Senti bai yuzingi tecno T301

Kesho mmeambiwa na Makonda muandae askari wa kukamata watu wasio na kazi maalumu. Hivyo toa amri askari wawe wa kutosha, lakini muandae na madaktari humo mtakapowaweka wazururaji.
 
Back
Top Bottom