Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
21,689
Reaction score
41,849
Solidarity forever.

Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k

Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala kuwazingatia watumishi wao,na wengi wamejaa viburi na jeuri.

Watumishi wengi wanaishi katika maumivu makali na manung'uniko na kukosa morali ya kazi.

Hivyo nashauri OWM-TAMISEMI isogeze huduma karibu kabisa na maeneo ya watumishi(ofisi za kanda) hawa mana wengi hushindwa hata kugharamia safari za DODOMA ili kuweza kufikisha malalamiko yako na changamoto zao ili kuweza kutatuliwa.

Naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…