Nashauri mashoga wafungwe miaka 30 na viboko juu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,738
22,468
Habari,

Jamani tuache masihara, tusipoangalia maadili yataporomoka hivihivi, kuna usemi ulikuwepo enzi za nyuma kwamba penye watu 10, mmoja ana UKIMWI, lakini sasa tunakoelekea itakuwa ni kwamba; penye wanaume 10, basi mmoja ni shoga, sasa kabla hatuja fika huko, naomba ili kulinusulu taifa hili lenye neema kubwa; Naomba serikali iweke Mswada, Shoga yeyote atakayegundulika anjitangaza hadharani afungwe jela miaka 30 na viboko juu.Halafu sasa mengine yanajichetua bila hata kuogopa, halafu hivi wateja wao ni kina nani haswa maana kila mwanaume anawaponda sasa wateja huwa ni kina nani?
 
Mi naona tuanze na mabahasha wao kwanza maana kama mabahasha wakikamatwa nani atawakuna
 
Duuuh na huko jela wajomba kina nyapara walivo na ukwasi.. C ndo watawagonga kwa foleni... Labda kuwe na kitengo maalum.. Ila ni fedheha kubwa kwa kituo cha clouds kumpa airtime yule kaoge..
 
Hapana naona wakamatwe na watwaje hao wanaume watumiaji waelimeshwe na kuwajibishwa maana wakikosa wateja sidhani kama kutakuwa na hao sampuli
 
wateja ndio nini??

unadhani ushoga ni kama biashara ya njugu??
 
Hapana waachwe tu.Ni maisha waliyojiamulia.Ila hizo TV zinazochochea na kutukuza ushoga zipigwe ban.
 
Mimi ningeshauri kitengwe kisiwa wakaishi huko na mahitaji yao yapelekwe huko, maana yangu ni kuwa kuanzia shule walimu wao wawe mashoga, madaktari mashoga na walinzi mashoga. Wawe wanakuja kujichanganya na wananchi wengine mara mbili kwa mwaka chini ya ulinzi mkali kama wa Obama.
unachukia ushoga au unachukia kuishi na mashoga??
 
Back
Top Bottom