mkweli1961
Senior Member
- Nov 9, 2010
- 148
- 44
Kwasababu maandamano yetu yamekuwa yakizuiwa na polisi kila tunapokuwa tumewataarifu, nafikiri siku nzuri ya kufanya maandamano hayo iwe tarehe 09.12.2011 kwani siku hiyo kumbukumbu ya Jamhuri. Polisi watakuwa wanaelekea uwanja wa taifa na hawatakuwa na ubavu wa kutuzuia kufanya maandamano yetu. Vijana Mbeya waliwazidi nguvu polisi sembuse hapa Dar. Tusipoteze nafasi hii sisi wenye uchungu na nchi hii. Tuungane kuikomboa nchi yetu.
Wakati wa kusubiri kuruhusiwa maandamano kwa kibali umepitwa na wakati. Polisi wanatakiwa wavuliwe gamba. Saa ya ukombozi ndio sasa.
Wakati wa kusubiri kuruhusiwa maandamano kwa kibali umepitwa na wakati. Polisi wanatakiwa wavuliwe gamba. Saa ya ukombozi ndio sasa.