Nashauri maandamano yafanyike tarehe 09.12.2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashauri maandamano yafanyike tarehe 09.12.2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkweli1961, Nov 12, 2011.

 1. m

  mkweli1961 Senior Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwasababu maandamano yetu yamekuwa yakizuiwa na polisi kila tunapokuwa tumewataarifu, nafikiri siku nzuri ya kufanya maandamano hayo iwe tarehe 09.12.2011 kwani siku hiyo kumbukumbu ya Jamhuri. Polisi watakuwa wanaelekea uwanja wa taifa na hawatakuwa na ubavu wa kutuzuia kufanya maandamano yetu. Vijana Mbeya waliwazidi nguvu polisi sembuse hapa Dar. Tusipoteze nafasi hii sisi wenye uchungu na nchi hii. Tuungane kuikomboa nchi yetu.

  Wakati wa kusubiri kuruhusiwa maandamano kwa kibali umepitwa na wakati. Polisi wanatakiwa wavuliwe gamba. Saa ya ukombozi ndio sasa.
   
 2. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  naunga mkono hoja!!! Kaulimbiu ni kupinga matumizi ya mabilioni ya wananchi kuandaa sherehe za uhuru wa tanganyika ambao hauna tija kwa watanganyika wenyewe!!!

  naomba kuwasilisha ...
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hii ni niuz alat au wazo mbadala?
   
 4. J

  Jahnido Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nami naunga mkono hoja
   
 5. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uchungu na nchi sio lazima kuandamana hiyo inaweza kuwa sera ya chama chako sio ya watanzania wote. mwisho katika kuandamana mtabomoa na maduka yetu kwa kisingizio cha maandmano. Tunawajua hamna kawaida ya kuandamana bila kubuguzi wengine kama ni hao polisi piganane nao huko huko.
   
 6. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mmoja wa waathirika wa maandamano kosa langu ni kupita karibu na waandamanaji wakachukua mawe na kuvunja vyoo vya gari yangu. kama hayajakupata utaona kwamba maandamano ni mazuri kwa kila mtu kumbe sio hivyo.
   
 7. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siungi mkono hoja
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Maandamano ni haki ya kikatiba lakini yanavyotumiwa vibaya sina sababu ya kuunga mkono hoja.
   
 9. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Napiga meza!!
   
 10. j

  jigoku JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kipepeo inakuuma nini wakati gari lenyewe ni la kifisadi,wewe kaa kwako sisi tutaandamana tu maana tunajua tunalofanya
   
 11. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ww unayeamasisha maandamano siku ya kuandamana wala ujitokezi umbea tu andamana uone wanaume ffu watakavyokupiga mande
   
 12. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  naunga mkono hoja.........natamani iwe kweli
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  ausifiaye uovu, jua yeye ni uzao wa huyo mwovu, kapime dna kama inalandana na ya babako, kuna uovu unakuandama nawe hujui! nini uanaume wa ffu, labda mama yako anajua, koma kumtukana mama yako.
   
Loading...