Nashauri kuwe na barabara ya lami kutoka Kongwa - Kiteto - Simanjiro - Mererani, hii italichangamsha kiuchumi jiji la Dodoma

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
638
467
Nashauri kuwe na barabara ya lami kutoka Kongwa - Kiteto - Simanjiro - Mererani, iungane na lami ya Mererani - KIA.

Barabara hii italichangamsha kiuchumi jiji la Dodoma. Pia ita wawezesha civil servants na wafanyabiashara kusafiri kwa urahisi kwenye route hiyo. Pia itapunguza gharama za chakula na maisha kwenye jiji hilo.
 
Ipo kwenye mpango. Since 2014 kupitia fedha za MCC. Haitopita Mirerani.

Ni Mbauda -Terrat- Naberera- Orkesumet- Ndedo- Kibaya mpaka Narco Kongwa. Ni kama 450km.

Kwa kuiunganisha Tanga na makao Makuu Dodoma kirahisi kipande cha Hedaru- Gunge - Orkesumet nacho kingepigwa mkeka pia, ni 110km tu.
Zipo Basi zinakatiza Tanga-Kibaya-Kondoa-Dodoma.
 
Ipo kwenye mpango. Since 2014 kupitia fedha za MCC. Haitopita Mirerani.

Ni Mbauda -Terrat- Naberera- Orkesumet- Ndedo- Kibaya mpaka Narco Kongwa. Ni kama 450km.

Kwa kuiunganisha Tanga na makao Makuu Dodoma kirahisi kipande cha Hedaru- Gunge - Orkesumet nacho kingepigwa mkeka pia, ni 110km tu.
Mkuu unaonekana unaufahamu sana kuhusu eneo hilo nikusalikie tu supai...

Sasa yule jamaa anasemaga maendeleo yakija wenyeje watanyanganywa ardhi si ndo amerejea, saa itakuwaje?

Nakumbuka alikuwa anasema lami inahar8bu kwato za ng'ombe!!

Tobiko hadidurejea
 
Nashauri kuwe na barabara ya lami kutoka Kongwa - Kiteto - Simanjiro - Mererani, iungane na lami ya Mererani - KIA.

Barabara hii italichangamsha kiuchumi jiji la Dodoma. Pia ita wawezesha civil servants na wafanyabiashara kusafiri kwa urahisi kwenye route hiyo. Pia itapunguza gharama za chakula na maisha kwenye jiji hilo.

Mwaka juzi 2019 tanroads walipita kupima umbali wa mita 30 toka barabarani na wakasema itajengwa barabara ya lami toka kona ya kiseriani arusha,itapita rokii na vijiji vya huko mbele na kwenda mpaka wilaya ya kongwa.

Lkn toka wamefanya tathimini ya kulipa watu fidia hawajaonekana mpaka leo!
 
Naunga mkono haja,upembuzi yakinifu.
 
Nashauri kuwe na barabara ya lami kutoka Kongwa - Kiteto - Simanjiro - Mererani, iungane na lami ya Mererani - KIA.

Barabara hii italichangamsha kiuchumi jiji la Dodoma. Pia ita wawezesha civil servants na wafanyabiashara kusafiri kwa urahisi kwenye route hiyo. Pia itapunguza gharama za chakula na maisha kwenye jiji hilo.

Habari ingenoga ungeweka ramani pia
 
Back
Top Bottom