Uzalendo gani ? Wa kuuwa na kuteka watu?Mbegu ya uzalendo imshapandwa na hayo ndio matunda yenyewe.
Akimaliza huyo atakuja mwingine.
Watapewa ubalozi wangapi?
Hapa kinachotakiwa ni kuongoza nchi kwa maslahi ya Taifa na sio ya wachache, basi.
Wanataka aende nje ya nchi ili wapange mipango yao vizuriHuyu muhaini anatakwq awe gerezani
Snitch Bashiru hana faida kwa taifa akimaliza ubunge wa chamwino akalime ndizi kwao.
"Kama huna pesa mfukoni usiulize bei ya bidhaa maana huna pesa ya kulipia"
Bashiru.
Mzee wa kutumia dola kubaki madarakani.
Sasa dola inamkandamiza yeye asifurukute.
Asubiri tu mda wake wa ubunge uishe akalime ndizi.
Hana jipya ni miongoni mwa wanafki wa nchi hii wanaoendelea kuiweka CCM madarakani wakipewa ulaji.
Wakitoswa kwenye ulaji wanajifanya wafia nchi.