Nashangaa CCM hawakutumia hii slogan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashangaa CCM hawakutumia hii slogan

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by banizle, Jan 12, 2011.

 1. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Tokea hizi kampeni za mwaka 2010 zianze mpaka zimeisha na tukampata Raisi,sijawahi hata siku moja kusikia katika kampeni za CCM wakitumia neno MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA kama ilivokua 2005,. Sijui ni kwanini. Naomba msaada wana jamii
   
 2. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo iko wazi.Mtu au kiongozi yeyote atakayejaribu kutumia slogan hiyo ya maisha bora kwa kila mtanzania hakika ataonekana aidha anawakejeli watanzania au ataonekana amechanganyikiwa kwa vile hali ya kimaisha kwa walio wengi ndo imezidi kuwa mbaya.Na wanaoneemeka ni wachache sana,hususani mafisadi na watu wengine wanaotumia njia chafu kujipatia maisha bora.
   
 3. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  walisema kasi zaidi, ari zaidi, na nguvu zaidi kuleta maisha bora zaidi kwa kila mtanzania!!!!!!!!!!!!!!!! ahahaha!!
   
Loading...