Nash MC hakika album yako ya Diwani Y Maalim umekata kiu ya wengi

Mkuu hii ndo contact halisi ya Nash Mc,album ni 7000,kaweka mwenyewe matangazo Instagram ukimtafuta anakutumia album nzima kwa WhatsApp au email
Ok sawa.ngoja nitakutafuta nikipata vihela
Screenshot_20190611-010340_Instagram.jpeg
 
Hiphop anayo fanya Nash na lunduno tukimtoa unju ni ya kizamani sana ilishafanywa miaka ya 90 Arusha ndio maana wakifikaga sua wanachorwa tuu.Abadilike afanye swagah kidogo na content.

Swagah ndiyo ugoro gani?
"Maneno" by Nash Emcee.

-Kaveli-
 
Kendrick anafanya new school tofautisha na ujinga anaoufanya mansulii,Nashiri na songa wanajifanya wanajua Hiphop zaidi ya kina Hashim dogo.Hiphop yako ya kishamba sana kwa producer mzuri awezi wapa beat wachafue maana hawana flow nzuri kwenye beat wanafoka mono kwanzia intro hadi outro hakuna stereo.
Ukimnyanyang'anya kiswahili maalim utagundua haangii kwenye kundi la rapper wala mcee.

Ile king kunta ni new school??
I' nayo je??
Hao uliowataja wana tofauti gan na eminem mana nae ni oldskool adi leo na flow yake ni ileile ya kupga makelele tokea miaka hiyo.
 
Tustick kwenye hiphop mkuu,nash anafanya hiphop ya kishamba sio kwamba anarap content ndio maana wabongo hawamsikilizi nyimbo kama zima,homa imenizidia na asiyehisika na hiphop atoke zina content gani?.
Nash hagusi hata robo ya bonta maarifa alafu sikwamba anabaniwa na media ni kwamba hana good conscious rap song ya ku offer kwenye hiphop industry amebaki kujisifia tu mtaani.
Wew una matatizo
 
Acha utani mkuu ngoma za bonta zote zinafika top ten ukienda interior uko wulize watu wanaomjua nash hakuna lakini bonta watakuambia ni msaanii wa hiphop,sio kweli mziki content hiphop haiwi promoted mziki wowote mbaya hautakiwi.
Hasi 15
Shujaa
Sauti
Naandika
Vvu

Kwangu hizi ni best kutoka kwa maalim
 
Hiphop anayo fanya Nash na lunduno tukimtoa unju ni ya kizamani sana ilishafanywa miaka ya 90 Arusha ndio maana wakifikaga sua wanachorwa tuu.Abadilike afanye swagah kidogo na content.

!
!
Wewe Jamaa Ni Mqundu Mno Aiseee. Jipw Muda Kusikiliza Hii Albam. Ni Zaidi Ya Ushuzi Wooote Unaoujua
 
Kendrick anafanya new school tofautisha na ujinga anaoufanya mansulii,Nashiri na songa wanajifanya wanajua Hiphop zaidi ya kina Hashim dogo.Hiphop yako ya kishamba sana kwa producer mzuri awezi wapa beat wachafue maana hawana flow nzuri kwenye beat wanafoka mono kwanzia intro hadi outro hakuna stereo.
Ukimnyanyang'anya kiswahili maalim utagundua haangii kwenye kundi la rapper wala mcee.

!
!
Nakushauri Jipe Muda Kusikiliza Hii Albamu Ya #DiwaniYaMaalim. Nakuhakikishia Ukirudi Kujadili Hapa Utajadili Kwa Mtazamo Tofauti Kabisa.
 
Yupo ana bang kwenye media.Muambie nash wasikilizaji wa hiphop hawataki kusikiliza ngonjera kama za mpoto wanataka flow kali kama za p mawenge,chindo man,mo technique na unju akiendelea na hiyo style yake atabaki kuwa underground wa milele tuzo,show kubwa na top ten atasikia kwenye bomba.
Mmmh wabongo bwana kwa kujifanya much know!! Kwa iyo wewe unaifahamu hip hop kuliko Nash Maalimu! Sijui umenielewa au nirudi nimelewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom