Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
Bibi Noma huyoDj bibi hahahahaha
Mkuu huoni kama alialikwa na chuo kikuu..Nash ni mtaalamu wa kiswahili kama hujui....ni mtaalam katika mpangilio wa kiswahili na fasihiKatumbuiza watu watatu kwenye birthday halafu kalazimisha kupiga nao picha.. ama kweli ushamba mzigo
Hahaa!!!! Hapana aisee hapo inabid umtake radhiamepata bibi wa kijerumani wa kumlea
Angalia Picha ya pili hapoKatumbuiza watu watatu kwenye birthday halafu kalazimisha kupiga nao picha.. ama kweli ushamba mzigo
Unafuatilia muziki wake???Hahahah I like this guy
Hivi ni mhaya au mzaramo?huyo mzaramo " yupo""?...daahhh ukikaa na huyo Jamaa usipocheka basi hutokuja kucheka tena aiseee""
Nash mc "" mc pekee kutoka THT""
Umewahi kumsikia huyu jamaaHao wazungu ni sawa na wakina Mrisho Mpoto wa Tanzania.... Jamaa kafurahia kama zuzu
nijuavyo nimzaramo"" labda iwe anapande mbili" toka kwa baba na mama"" nilikuwa nakutana nae sana M.lab wakati ule ilivyokuwa bado ipo pale kinondoni Biafra....na studio za tattoo m'nyamala kabla hazijaa hamia masaki...hapo ndipo nilipowezaga kuyajua hayo machache yanayo muhusuHivi ni mhaya au mzaramo?
Hao wazungu ni sawa na wakina Mrisho Mpoto wa Tanzania.... Jamaa kafurahia kama zuzu
Jamaa namfahamu fika na kazi zake hadi anapo ishi kwa shangazi yake huko temeke Mbagala, juzi kati alikuwa Uganda kwenye mkutano wa nini alikutana na wasanii wa kenya, uganda na rwandaUmewahi kumsikia huyu jamaa
Duu!!!! Tattoo records kitambo Sana, hivi palla bado yupo????? Na yule Dogo Abby yupo?? Sijaibukaga Tattoo tangu 2012 sijuinijuavyo nimzaramo"" labda iwe anapande mbili" toka kwa baba na mama"" nilikuwa nakutana nae sana M.lab wakati ule ilivyokuwa bado ipo pale kinondoni Biafra....na studio za tattoo m'nyamala kabla hazijaa hamia masaki...hapo ndipo nilipowezaga kuyajua hayo machache yanayo muhusu