NASEMA MTAENDELEA KUONGOPEWA MPAKAAA

Kinapima ukimwi hakipim vvu???

Umeelewaa [emoji115] ulicho comment??
 
Kinapima ukimwi hakipim vvu???

Umeelewaa [emoji115] ulicho comment??

UKIMWI - syndrome / condition / damage

VVU - micro organism

See the difference?
Hiko kipimo virus akiwepo mwilini na haleti shida, like kwa mtu ambaye ni career hakiwezi detect kitu. Ila vita ya mwili na kirusi ikianza ndo kinaweza detect. Na kwanza kuna baadhi ya watu wanaotumia ARV hiko kipimo hakiwezi kutoa majibu sahihi
 
Aisee VVU ndio UKIMWI sasa maelezo yako ayasomeki mkuu
 
Aisee VVU ndio UKIMWI sasa maelezo yako ayasomeki mkuu
UKIMWI - syndrome / condition / damage

VVU - micro organism

See the difference?
Hiko kipimo virus akiwepo mwilini na haleti shida, like kwa mtu ambaye ni career hakiwezi detect kitu. Ila vita ya mwili na kirusi ikianza ndo kinaweza detect. Na kwanza kuna baadhi ya watu wanaotumia ARV hiko kipimo hakiwezi kutoa majibu sahihi
 
Tatizo la watanzania tunakabidhi majukumu yanayotuhusu kwa makampuni yanayohitaji kupiga deal la kupata pesa. Hata jana tulirumbana sana kuhusu vipimo vinavyotumika kupima maralia, taifod n.k yote ni uongo tu! Tumeweka siasa mbele badala ya elimu mbele.
 
Umechanganya kidogo mkuu! Hiki ni kipimo cha VVU (HIV) kinachojikita kuangalia kama wale walinzi wanaopambana na HIV (Antigens) tayari wametengenezwa mwilini, hivyo kumaanisha kwamba mwili unaopimwa tayari umeshaingiliwa na virusi hivyo. Kipimo kinachopima UKIMWI (Ukosefu wa Kinga Mwilini) huwa kinaangazia kiasi /idadi ya CD4 (CD4 Count) ambazo ndio seli zinazotumika kuzalisha walinzi wa mwili (ulinzi wa jumla) na ndio hizo hizo ambazo huangamizwa na HIV (VVU) na kupelekea mwili kukosa kinga na hivyo kuwa dhaifu kiasi cha kushambuliwa na magonjwa nyemelezi (haya ndio hupelekea kifo kwa mwenye UKIMWI).
 
Huyo boya katoka wapi tena jamani? Watu tunasikitika bonge la mrembo hakuna tena Tanzania, Amber Rutty, kuingia matatani, yeye analete mambo ya ajabuajabu.

Shabbash!
 
Huna elimu juu ya ugonjwa huu,toa point za kueleweka siyo inaongea simple hivyo kama binti wa darasa la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…