Vipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.
Huyu kanjanja tu, hana loloteNi vizuri ukipinga mambo ya kitaalamu, ungeweka na hoja zilizoshiba. Sio sahihi kupinga kitu halafu hautuhabarishi huo usahihi ni upi.
Dr.WilliamVipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.View attachment 917901
Ebu tutajie aina tatu za ukimwi. Ili tujue mahali pa kukusaidia kuliko kupotosha jamiiNaelewa vzr sana tofauti ya HIV na VVU pia tambua kuna aina nyingi za ukimwi
Labda vinapima marinda kile kipimo cha Bashitevinapima kitu gani mkuu
Huenda mwenzetu unaujua ukweliVipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.View attachment 917901
Vipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.
Dr William..this JfNaelewa vzr sana tofauti ya HIV na VVU pia tambua kuna aina nyingi za ukimwi
Wewe jamaa sio mzimaNaelewa vzr sana tofauti ya HIV na VVU pia tambua kuna aina nyingi za ukimwi