Nasema kwaheri CHADEMA iwapo....

Nasema kwaheri CHADEMA iwapo....

mimitungi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
738
Reaction score
261
Wana JF, Mimi ni miongoni mwa vijana wengi ambao tunasubiri kwa hamu mustakabali wa siku 14 za maamuzi ya Kamati kuu ya CHADEMA kuhusiana na issue ya ZZK na wenzake.Siko peke yangu, tupo wengi. Siko tayari kuendelea kuwa mwanachama wa CDM iwapo Zitto atasamehewa na kuachiwa uanachama kwasbabu kuu 31. Alishindwa kututumikia katika nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa Chama (Miezi 7 haingii Ofisini), eti kiongozi, kiongozi wa nani?2. CCM wanasikitika sana Zitto kusimamishwa uongozi, hii nalo ni janga, na nia ajabu. Karibu CCM wengi wanamtetea, kuna nini?3. Dharau;- Kabla hata ya siku 14 kuisha, anakimbilia kwa wanahabari huku akipata sapoti ya CCM, duu. Kali zaidi ni alipoenda redioni, ka. Yaani anaidharau Kamati kuu, kwanini asingekaa kimya.Najua inawezekana kukawa na sababu nyingi tu, ila kwa mimi NASEMA;- Kwa heri CDM iwapo Zitto ataendelea kuwa mwanachama wa CDM.
 
Ngoja wenyewe waje watakujibu.

kp29112013.jpg
 
Ama kweli wewe Tungi...
 
Ulanzi ukiunywa wakati wa jua kali lazima ukutoe barabarani...
 
Ama kweli wewe Tungi...

Hawa vijana bana viroba na tindikali vinawatolesha sana akili,hivi katika ule waraka wa ushindi 2013,mbona matumizi mabaya ya fedha za ruzuku za chama na uendeshaji wake ambao unawahusisha watu watatu tu Mbona hawahoji?
 
Je ni CCM ,CUF au ni vibaraka ndani ya CDM wakiwemo wakuu wao kwa kuivunja kila nyota inayotishia uhai wa CCM au inayotishia wakuu wenyewe ?

Kila utakaemsikia kafukuzwa au kasimamishwa uwanachama ndani ya CDM ,sababu za undani utaziona ni kuwa ananyemelea kugombea nafasi nyeti na hivyo huwahiwa mapema asije akawaangusha wazee wa Chama.

Ukiangalia Chama kama CUF wale waliofukuzwa wote hakuna alietishia uhai wa viongozi wakuu nikimaanisha kuwaangusha katika uchaguzi ,wengi wameonekana kujiengua wenyewe haswa pale wanaposhindwa kiuchaguzi na wengine kwa maslahi yao binafsi.

Kuna akina Lwakatare huyu nae amehamia CDM yanayomkuta huko kila mmoja anayajua ,Tambwe huyu mchumia tumbo CCM wesha mtupa ,mwengine ni Shaibu Akwilombe hajulikani amepotelea wapi na wengine wengi ambao walikiacha chama cha CUF ,lakini umakini na umahiri wa CUF umeonekana ,hakukutokea mtafaruku wala chama kuyumba kama inavyoonekana kwa CDM ,CDM inakufa ila inajikaza kisabuni ,ukweli ni kuwa CDM imechafua ile sura ambayo ilikuwa wameivaa ya kuwa chama makini na chenye muelekeo wa kuongoza Nchi hii .lakini imekuwa kama iliyovamiwa na viwavi jeshi ,imesambaratika na joto la kuzidi kusambaratika linaendelea.

Aidha viongozi wakuu wa CDM wanatumika na CCM kuuwa umoja wa WaTanzania ndio ukaona hawang'atuki au wameng'ang'ania ukubwa ,sio kosa ila ung'ang'aniaji wao haukubaliki ndani ya Chama wanachodai ni cha WaTz wote

Leo CDM inakufa vibaya sana ,kifo cha ajabu japo hakuna kifo kizuri. Beggars cant be choosers walala hoi hawana haki ya kugombea nafasi za juu.:A S 103:
 
Habari za uhakika nilizozipata kutoka kwenye akili zangu ni kwamba Zittoa asipofukuzwa chamani atabaki kuwa KIRUSI cha kudumu!
 
Mimi ni moja wa watakaoishangaa chadema kama itamsamehe Zitto ambaye hataki kukiri kukivuruga chadema.

Zitto is a snake tupa kule.
 
Nina ninachotaka kusema kwa hawa mafisadi ila ngoja kidogo ntarudi.
 
Lukosi umekumbuka ulanzi wa kwenu Tanangozi na Kipaduka?

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Duuu! Mwanachama anaye ongozwa na majungu yaliyo sababishwa name hisia chafu
 
Zito Ni Zaidi Ya Cdm..! Chm Wameshalikoroga Na Wako Chini Ya Ulinzi Wa Mmakonde Kwa Maana Wamfukuze Uanachama NCHALE Wamuachie Uanachama NCHALE.. SO Watafute Njia Za Kuuzima Huu Moto Waliouanzisha Kwa Tamaa Ya Madaraka... Inashangaza Mtu Kama Tundu Anamnanga Zito Wakati Hata Miaka Mitatu Chamani Hana Ni Ajabu Aisee Njaa Mbaya Sana...
 
washabiki wa mamluki huyo zitto ninaamini watapotea mda sii mrefu kwa sababu ni wafhadili wa ni maccm
 
Ulanzi ukiunywa wakati wa jua kali lazima ukutoe barabarani...

Ndugu mdau, tafadhali sana rudisha hela aina ya Pauni na Euro ULIZOPIGA toka kwa wenzio wenye moyo wa huruma waliokuamini kuwa hela hizo ungezifikisha kwa Mama Mwangosi.
 
Mini ninachoona chama kinaongozwa kwa falsafa ya imani.. Yaani watufulani wakiongea, wafuasi hupokea hivo hivo bila kufikiri. Mathalani. Mkumbo alihongwa laki 2 kusaliti Chama, zitto amehongwa na ni mamluki wa ccm. Yote haya hayana ushahidi ni mambo ya kudhania
 
washabiki wa mamluki huyo zitto ninaamini watapotea mda sii mrefu kwa sababu wafhadili wakuu ni maccm
 
Back
Top Bottom