Wana JF, Mimi ni miongoni mwa vijana wengi ambao tunasubiri kwa hamu mustakabali wa siku 14 za maamuzi ya Kamati kuu ya CHADEMA kuhusiana na issue ya ZZK na wenzake.Siko peke yangu, tupo wengi. Siko tayari kuendelea kuwa mwanachama wa CDM iwapo Zitto atasamehewa na kuachiwa uanachama kwasbabu kuu 31. Alishindwa kututumikia katika nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa Chama (Miezi 7 haingii Ofisini), eti kiongozi, kiongozi wa nani?2. CCM wanasikitika sana Zitto kusimamishwa uongozi, hii nalo ni janga, na nia ajabu. Karibu CCM wengi wanamtetea, kuna nini?3. Dharau;- Kabla hata ya siku 14 kuisha, anakimbilia kwa wanahabari huku akipata sapoti ya CCM, duu. Kali zaidi ni alipoenda redioni, ka. Yaani anaidharau Kamati kuu, kwanini asingekaa kimya.Najua inawezekana kukawa na sababu nyingi tu, ila kwa mimi NASEMA;- Kwa heri CDM iwapo Zitto ataendelea kuwa mwanachama wa CDM.
Na mimi naunga mkono hoja hata kama kuna kupasuka kwa chama acha kipasuke tutakijenga tena kwa muda mfupi tu ZZK atoke tena mapema