Nasema kwaheri CHADEMA iwapo....

Nasema kwaheri CHADEMA iwapo....

Porojo zenu ndio zitamaliza chama. Maana maoni yenu yanapelekwa kamati kuu. Hua nashangaa kwa nini cdm inatumia Maoni ya watu kutoka kwenye mitandao hasa Jf bila kujua huyo mtoa hoja alikua kwenye hali gani kiakili.
 
Tuko singida, tamko la mwenyekiti wa mkoa wakati anabwaga manyanga
 
Naunga mkono hoja....Zitto ni mtu mbaya sijapata ona....Ni zaidi ya mnyama....

hofu ya uchaguzi wa chadema. Lazima mkojoe dagaa mwaka huu na mbowe wenu
 
Haya Kachukue malipo kwa babu Slaa.
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... CHAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
 
Siwezi kukitumikia chama ambacho kinaamua kumkumbatia baradhuri na mzandiki kama Zitto, Heri nikajiunge na chama cha bwana Dovutwa,
Hapo umechemka!.... Dovutwa hajulikani ni MDINI au Mpinzani - msaliti. Mwaka 2010 aliomba asipopigiwa kura basi apewe JK... Ikifika hapo heri niwe na zitto ninayeweza kumdhibiti kuliko mnafiki kama DOVUTWA.
 
Wana JF, Mimi ni miongoni mwa vijana wengi ambao tunasubiri kwa hamu mustakabali wa siku 14 za maamuzi ya Kamati kuu ya CHADEMA kuhusiana na issue ya ZZK na wenzake.Siko peke yangu, tupo wengi. Siko tayari kuendelea kuwa mwanachama wa CDM iwapo Zitto atasamehewa na kuachiwa uanachama kwasbabu kuu 31. Alishindwa kututumikia katika nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa Chama (Miezi 7 haingii Ofisini), eti kiongozi, kiongozi wa nani?2. CCM wanasikitika sana Zitto kusimamishwa uongozi, hii nalo ni janga, na nia ajabu. Karibu CCM wengi wanamtetea, kuna nini?3. Dharau;- Kabla hata ya siku 14 kuisha, anakimbilia kwa wanahabari huku akipata sapoti ya CCM, duu. Kali zaidi ni alipoenda redioni, ka. Yaani anaidharau Kamati kuu, kwanini asingekaa kimya.Najua inawezekana kukawa na sababu nyingi tu, ila kwa mimi NASEMA;- Kwa heri CDM iwapo Zitto ataendelea kuwa mwanachama wa CDM.
yaaani kama ulikuwa kichwani mwangu , hizo sababu ulizo ziainisha na mimi ndiyo zinazonitesa sana , ni sawa na baba amekuzaa na bado kakusomesha lakini ana mpango wa kukuangamiza kwa kifo , je utafanyaje ? utaacha akuue kwa kuwa ni baba ? kuna watakao afiki ufe na wengine usife na wengi watasema si kweli, hawezi unamtungia baba yako uongo, lakini kwa matendo ya baba baadaye wataamini huyu mzee anadhamira mbaya na ndiyo maana alitaka kumuua mwanaye . kwa wana chadema wote ni lazima tuchague kifo na uhai kipi bora , namkubali sana ZZK lakini kwa hili NO THANK YOU
 
tunajisuka tufanye finishing tuombe uzima kwa Mungu ccm watafurah wenyewe na hivyo connection yao zzk imechomolewa kwisha kbs wahesabu muda tu....
 
Zito Ni Zaidi Ya Cdm..! Chm Wameshalikoroga Na Wako Chini Ya Ulinzi Wa Mmakonde Kwa Maana Wamfukuze Uanachama NCHALE Wamuachie Uanachama NCHALE.. SO Watafute Njia Za Kuuzima Huu Moto Waliouanzisha Kwa Tamaa Ya Madaraka... Inashangaza Mtu Kama Tundu Anamnanga Zito Wakati Hata Miaka Mitatu Chamani Hana Ni Ajabu Aisee Njaa Mbaya Sana...

Sikitika utakavyo lazima Zito ang'oke
 
Ukweli uko wazi wala hatuhitaji kufikiri hapa kila mtu sawa ana makosa ila sio uhaini katika siasa hili naliona kama suala kubwa lina maana moja tu kuBwa kuwa HUYU SI MWENZETU.

Kweli ukigundua hilo jambo ni vizuri kuhalisha asiwe mwenzetu poa tuje tuanguke lakini chama kitasimama hata kama ni mwaka 2020 na kitakuwa imara zaidi na suala la ukombozi litachelewa tu lakini litafanyika suala la kubwa hapa Wananchi kujua nini chakufanya lakini tatizo letu wengi tumezoea kusikia uongo na tumejenga utamaduni wakukubali uongo na kuhuamini.

Watanzania kiukweli tusikubali et mupasuko huu uwe ndio chanzo cha matarajio yetu ya kutoka kwenye sifuri kwenda kwenye moja [TUJITAMBUE NA TUKATAE KUWA MITAJI YAO NA TUTHAMINI MAISHA YETU] tusirudi nyuma, kushindikana kupata maendeleo kwa utawala uliopo liko wazi na linasemwa sanaa swali kubwa hapa watanzania tunahitaji mabadiliko? Kama ndio kwanini tutishike na haya wacha yaje yatupatie viongozi wa kweli na tukifanya mabadiliko watakuwa waminifu,wazelendo na wachapakazi kwa watu na kama mtu kweli anang'ang'ania madaraka au kabadili katiba bila makubaliano katika mikutano ya chama na inathibitika kabisa huyu pia hatufai tayari kashatupa picha ya nini anachokitafuta katika mbio hizi za ukombozi anahitaji MAISHA YETU WATANZANIA KUFANIKISHA MAHITAJI NA MALENGO YAKE na suala la usaliti jamani si suala ndogo kabisa ni suala baya mno na kufanyia biashara matakwa ya wananchi ni sawa na kuchezea maisha yetu. Hii ni alama ya ulafi na matokeo ya ulafi ni ufisadi na matokeo ya ufisadi ni uuwaji na suala la kusaliti ni alama ya matamanio makubwa kwa siku za usoni na hii ni tabia mbaya na hulka ya mtu na mtu wa aina hii watanzania ni mtu mbaya kuliko wote huyu atauza nchi yetu kweupe peee na atakuwa bepari mzuri.Jiulize hivi kwann mtu ASALITI jibu ni rahisi tu kuwa ni TAMAA.

Watanzania wenzangu kama kweli tunataka mabadiliko tusirudi tulikotoka na wanaofanya hivyo ni kati ya wale waliofikiri kule waendako watafanikiwa kufanikisha lengo lao liliojaa TAMAA huku wakitumia harakati za ukombozi kama mtaji hawa walitakiwa kupambana ndani kwa ndani kuweka mambo sawa na kuweke mbele kwanza maslahi ya mapambano ya ukombozi kwanza kwa taifa hili na kuachana na CHAMA maana hapa chama kinatumika tu kama kiunganishi na watu kama silaha kufanikisha malengo ya watanzania wengi wanaotaka wakiona nchi ikibadilika naomba tueshimu maamuzi yetu ya mwanzo yakutafuta ukombozi wa nchi kwakutafuta nini kituunganishe ili kuondoa ufisadi, ula rushwa na uonevu uliokithiri na tukapata na kuamua kufanya hvy kuondoka kwenye harakati hizi za pamoja za UKOMBOZI NI USALITI MKUBWA i mean kuacha wenzio wapiganie ukombozi huu kama CHAMA TULICHOKIAMNI KINAVYOJINASIBU huo mi nahuita kama UASI.

Mapambano haya si kwaajili yetu sana bali kwa wanetu wote hata wale tunaopambana nao na wanetu wamejengewa utamaduni wakunyonywa na kutawaliwa hata maisha yao kuwa mitaji YA WANASIASA WA WATANZANIA kutokana na tabaka la elimu lililopo kati ya watoto watawala na sisi wenye nembo ya jembe tukatae haya kwa kupambana mpaka mwisho kwakufuata kanuni na sheria za nchi yetu na hasa maamuzi katika uchaguzi kama fimbo na nyenzo yetu kuu.

Mnaohama kushusha bendera na kuchoma hata maofisi labda ziwe ni propaganda kutoka upande wa pili lakini kama ni makamanda mnakosea sana maana hapa mnashinikiza maamuzi fulani wakati jambo lenyewe halijafika mwisho na je? Ikija thibitika kuwa kweli waliofukuzwa walikuwa wanatumika uamuzi wako utakuwa tayari umetetea USALITI ambao uliiukana na kujiunga na harakati za mabadiliko na uko tayari chama kife itakuwa aibu kuwa kushiriki dhambi hii kubwa kwa mwanaharakati yeyote na pia ikithibitika hawa watu hawakuwa na makosa kwakutumia kujibu zile hoja UTAKUWA UMESHIRIKI KATIKA KUUA KIUNGANISHO CHETU MAANA UTAKUWA UMEWAPA USHINDI WALE WALIOHITAJI MAAMUZI HAYA KWA MANUFAA YA MADARAKA.

Mwanaharakati yeyote hapaswi kurudi nyuma anapaswa kusonga mbele kwakutumia machafuko kama changamoto zinazoonyesha fursa za kuihitimisha kwa kishindo harakati yetu ya TANZANIA MPYA. Kama kweli ulijiunga na harakati hizi mwanachama yeyote mwenye dhamira safi na isio na TAMAA NA mawazo ya ulafi atakuwa hana upande wowote bali atapigana kuhakikisha kila kitu kipo kama katiba ya chama hiki kama muongozo kinavyoonyesha na mwisho wa siku ushirikiano wetu na umoja wetu utakuwa mkubwa mno na kiukweli hili likitumika vema ni silaha kubwa ya mafanikio.

WANACDM UMEFIKA SASA KUONYESHA DHAMIRA YETU YA KWELI YA TANZANIA MPYA KWAKUTORUDI NYUMA BALI KUSONGA MBELE KWA KUTAFUTA SULUHU SAFI NA SALAMA KWA KUHESHIMU SHERIA NA UTARATIBU ULIOPO
 
  • Thanks
Reactions: Wed
zile thread za kijinga..za watu wanaojiita watafiri na wachambuzi.....amabo huandik aujinga kibao unaoneka kuwa positive halafu wanamalizia.... ila.....sijui km.
 
Weak thread maneno meng hujayapangilia warudiarudiabmaneno agriiiii buuuuuuuuuuiu,pelekea Bavicha wenzako wakusaidie kuedit na kupangilia maneno vizuri,Bavicha mnapenda umaarufu hamna shule vichwan.....
Cc. Mnyika
Cc.Mbowe
Cc.Lema
 
Weak thread maneno meng hujayapangilia warudiarudiabmaneno agriiiii buuuuuuuuuuiu,pelekea Bavicha wenzako wakusaidie kuedit na kupangilia maneno vizuri,Bavicha mnapenda umaarufu hamna shule vichwan.....
Cc. Mnyika
Cc.Mbowe
Cc.Lema
Haturudi nyuma tunasonga mbele, chukueni kimeo chenu...
 
Tangu ujiunge hapa juzi umekuwa unakunyakunya tu kama bata bila kwenda msalani(chooni). anyway, utakapolizoea jamvi utastaarabika

Jina lake lenyewe linajieleza.
 
Weak thread maneno meng hujayapangilia warudiarudiabmaneno agriiiii buuuuuuuuuuiu,pelekea Bavicha wenzako wakusaidie kuedit na kupangilia maneno vizuri,Bavicha mnapenda umaarufu hamna shule vichwan.....
Cc. Mnyika
Cc.Mbowe
Cc.Lema

Nioneshe thread yako iwe ya mfano hapa JF.
 
Wana JF, Mimi ni miongoni mwa vijana wengi ambao tunasubiri kwa hamu mustakabali wa siku 14 za maamuzi ya Kamati kuu ya CHADEMA kuhusiana na issue ya ZZK na wenzake.Siko peke yangu, tupo wengi. Siko tayari kuendelea kuwa mwanachama wa CDM iwapo Zitto atasamehewa na kuachiwa uanachama kwasbabu kuu 31. Alishindwa kututumikia katika nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa Chama (Miezi 7 haingii Ofisini), eti kiongozi, kiongozi wa nani?2. CCM wanasikitika sana Zitto kusimamishwa uongozi, hii nalo ni janga, na nia ajabu. Karibu CCM wengi wanamtetea, kuna nini?3. Dharau;- Kabla hata ya siku 14 kuisha, anakimbilia kwa wanahabari huku akipata sapoti ya CCM, duu. Kali zaidi ni alipoenda redioni, ka. Yaani anaidharau Kamati kuu, kwanini asingekaa kimya.Najua inawezekana kukawa na sababu nyingi tu, ila kwa mimi NASEMA;- Kwa heri CDM iwapo Zitto ataendelea kuwa mwanachama wa CDM.

ebo, umekuwa msemaji wa vijana wote chadema au Tanzania nzima?! na mie nasema ni kijana ila simsemei mtu - napenda kuona demokrasia halisi chadema tofauti na ya maccm! nataka kuona maelezo na vielelezo vya kutosha nijiridhishe usaliti wa zzk kabla sijamhukumu - kama kijana mwenye fikra huru nataka nijiridhishe pasipo na shaka bila ushabiki!!!!
 
Back
Top Bottom