Nasema hivi, Mume anauma!

Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.

Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa

😆😆😆

Yàani hata huyo atakayekuja atakewa na MICHEPUKO zaidi ya uliyenaye sasa.

Hapo ñdipo Jamie Kuzuka au Kunyoa
Au uombe Kadi ya uanachama Kwa dronedrake kaimu Mwenyekiti Kataa Ndoa

Huko kwèñye Chama cha Kataa Ndoa NI rasmi utakuwa kama Maharamia wanaoteka waume za Watu au wachumba za Watu na hautakuwa na Mali yako mwenyewe
 
Chai
 
Huyu hajawahi kupigwa matukio ya kufululiza. Yaani unapigwa matukio kiasi kwamba mwili na moyo vinakufa ganzi hata uitwe njoo umuone mumeo huku ananyanduana na mtu nyumba ya jirani ndo kwanza unavuta blanket unakoroma vizuri kabisa.
Duuh
 
Saa Tisa usiku umeamka mwiba umechachamaa kama unataka kuchoma ukuta!unaisogelea nyama unaanza na mpapaso kwenye paja!

Unashangaa anaruka kama chura eti Hana mood mara anaumwa!aiseh mwiba Ili ulale Hadi uruke kichura nje huko ndio ulale!!
😂😂😂😂😂😂😂
 

Amfuate Afande ampe ABC.
Watu wanamlaumu Afande lakini zile ndîzo adhabu wanazostahiki wezi wa wènyewe. Hayo màtukio mtaani yapo mengi NI vile hayaripotiwi kwèñye media
Hakika mkuu avumilie tu atazoea

Azoee asizoee hawezi Kuzuia hiyo.
Akitaka naye a-cheat ili wapoteze na kuvunja Ndoa na kîla Mtu apite kivyake ila lazima Alelewe hata Huko anapoenda mambo NI yaleyale.

Mwanaume atajitahidi Sana lakini mwisho lazima ashwinde kuwa na Mwanamke mmoja,

Aidha ageuke haramia au abaki ndoani
 
Mimi ni mtumzima, lakini niaeme tu kwamba hauja treat situation kwa akili kubwa.
Hicho ulicho kifanya yaweza sababisha mumeo akavurugika.
 
Mzee mwenzangu mimi sina uzoefu sana na watoto wa 2000. Nakula mali safi za 35 huko...sina shida na mtu🤣🤣
Hahaha........... hongera sana Mzee mwenzangu, Mimi nilijaribu wote wa 90' na hao wa 2000

Nimegundua Kwa umri wangu Bora niendelee na Wazee wenzangu wa Mwaka 47, nikienda na hao wenye 35 na 20' naweza kupandisha Kisukari na Pressure katikati ya pambano 😜
 
aiseee
 
Pole sana kwa yaliokukuta hakika unahitaji mtu wa kukushauri na kukujali kwa kipindi hiki tafadhali naomba niifanye hii kazi kama hautojali nicheki Private message. Ahsante!!!..
 
Umekosea sana, una uhakika huyo x wako kama ni mzima?, unajua kuwa na yeye yupo na mahusiano and it is possible naye kaoa kwamaana yeye, mke, na hako katoto ni wa3 haka katoto kwa vile kanajua mumeo ana mke lazima kana mwanaume mwingine wa rika lake, wanakuwa watu7 hapo, imagine boyfriend wa dogo anacheat kwa kuhisi kuwa kaschana kanacheat na mumeo mnakuwa watu 8 weka mumeo 9 na wewe 10, hapo mke wa jamaa hajacheat na jamaa mwenyewe hajacheat and the chain keep going, unaezajikuta mna mtungo wa watu 50.
Dadangu men always cheat no matter what. Na si kwamba tunacheat tunapenda nooooo, ndo nature ilivyo. Wewe kama mumeo anakuhudumia vizuri, anahudumia familia, that is enough mwache aende akirudi nyumbani wala usimbanie, unavyombania either ataongeza katoto kengine mfike wengi. Pambama humo humo. Na utaharibu zaidi pale utakapoamua na ww kucheat yaand ndo kma utaweka mafuta kwenye moto unaowaka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Mtibelii jamaniiii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…