Mwambie anipe Chini aache kusingizia period isiyoisha kikomo period gani inaenda mpaka Mwezi?π π usaliti unauma ila sio kwa kiwango cha zuri π π wengine mioyo ishapata ganzi, halafu hizo posa atalipia wangapi?
nachoona apambane na mumewe ameishi nae anamjua kuliko mchepuko bahati nyingine aliyonayo bwana bado anamfeel hapo kwenye kumuomba tamu ni wazi huyo dogo hajamteka kiivyo,
Soon ex atamkamua km utaniutani tu maana si amempa kazi ikitiki malipo kwenye pembe 4Sijui ila ukaribu wa hivyo na ex ni wa mashaka, wewe na huyo mumeo ni wale wale sasa ex unaendeleza ukaribu nae wanini na upo kwenye ndoa?
Atakamuliwa ni ishu ya muda tu na vile tayari kuna sababu.Soon ex atamkamua km utaniutani tu maana si amempa kazi ikitiki malipo kwenye pembe 4
Na moto pia si ana kupelekea kama kawaida sema wewe ndio hutakiKwahiyo ndoa ni kulala pamoja na kuhudumiwa? Ningebaki kwa mzee wangu mie.
Kwa mara ya keanza tangu nimeanza kukusoma humu meaka 2014, leo ndiyo nimeona umeandika sentense ndefu (maneno mengi) mpaka nimeshindwa kumaliza kuyasoma.
Namna hiyo π nsijue tuπKwahiyo kama kutafuna nje atafune ila usije ukagundua!??ππππ
Aisee we mke mzuri sana mashallwah.
Kwa kweli Mjukuu, nahisi Kuna training wana-attend hawa mabinti virtual maana hawaoni shida kumliza Mzee wa Umri wanguHao watoto wa 2000 sio wa kuwachukulia poa babu.
Unakuwa samaki Sasa Mana machozi yataenda na maji.Sometimes nikioga nalia sio utani
Huyo mumeo kweli au umeamua kumpa jina la mume ikiwa bado hajakamilisha taratibu? Mi naona bado ana uhuru wa kujaribu pengine sababu bado hajarasimisha.Naanzaje na moyo umevunjika Mkuu. Mi nataka aachike tuanze upya kujenga maana sahv ndoa hamna hapa. Naumiaaaa
ila napenda jinsi unautani ndani ya lugha yakoUnarudiarudia unataka nijinyonge??