Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,564
Nakupa ushauri tu we na mumeo nani ana hela ? Je anaihudumia familia ipasavyo ? Kama mumeo anasimamia majukumuyakwe kama mume we tulia ndani ya nyumba. Ziba masikio kama chura kiziwi. Komaa na maisha yako jiongezee thamani kama una biashara kazana nayo. Kama umeajiriwa hakikisha unapiga training yeyote itakayokuja upande wako. Na kama ukipata nafasi ya kuongeza shule ongeza ,mama yangu katika soko la ajira mwanamke na mwanaume wenye masters wana nafasi mbili tofauti.Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Mwenzio anaogopa kukabiliana na mwizi wake hata kwa simu!.Harvard, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nimechekaa jamanii, mie napenda kusemaa ukweli.
Sijawahi kutembea na mume wa mtu deliberately. Nikiwa chuo nilikuwa na mahusiano na mtu nikaja kujua ni mume wa mtu. Niliachana nae ndani ya hiyo wiki licha ya kuomba sana.Zurie na kujibu kwa according ya wewe kulia . Sana kwamba umechitiwa na mume kisiri.
Kabla hujaoelewa ulikuwa kwenye kazi hihii na pia manager wako hamna mahusiano yeyote?? Je hujawahi kuwa na mume wamtu kabla hujaolewa na mme wako. Alikuwa naupendo?? Au alikuwa kakuoa tu . Katika maisha lazoma wanaume wacheat wake zao kwasababu hawawezi kuishi nawewe tu .
Haya maswali nakuuliza ili ujue kuwa kama umewahi kuwa na mume wamtu ukiwa mdogo kwa maslahi au kwa mapenzi bado, ndio saivi unalipizwa
Wife materialKwa kuwa umesema, huyo dada sio mtu wa kukwapua wanaume za watu, na kwa mumeo imetokea kibahati mbaya na hajui km baba ni mume wa mtu.
Basi muitee huyo dada na umpe onyoo kalii, naamini atamuacha chibaba wako.
Hiyo njia unayotaka kutumia, uta fail na uta fail haswaa, niamini mie.
Usijesema hukuambiwaa. Poleeeee sanaa.
MIe siwezi.sema ila huyo mwanadada amefanya makusudi kuwa namumeo kwa.unavyooelezea historia yako hapo hujafunguka ila ukimtaka mumeo acha mazoea na mwanaume unayedhani ni.rafiki yako.mumeo atarudi huyo rafiki wakiume.ambaye is your best friend ndio huyo dada ni mtu wake ila hamjui kama amewajua kama huna huyo male friend basi unamwanaume.ambaye hajaoa mmezoeana naye achana naye huyo.ndio kitu yake.nayeye kaamua kukuloza uone.mume mchungu kama unavyoona saivi.sasa umelewa aliend akama kulipiza kisasi akanogewa kachukua jimboSijawahi kutembea na mume wa mtu deliberately. Nikiwa chuo nilikuwa na mahusiano na mtu nikaja kujua ni mume wa mtu. Niliachana nae ndani ya hiyo wiki licha ya kuomba sana.
Yani mtu wa mipaka ya kumpigia simu, kumtafuta, kuwa naye public mi simtaki.
I feel your pain....ongea Na mumeo usikae Na io sumu wewe ndo utaendelea kuteseka huku wenzako wanaendelea kufurahia uzinzi waoKuna utofauti wa kula tu ukaondoka. Ila unajenga uhusiano kabisa mnakaa masaa 4 mnaongea, mnataniana, unamjua kiundani, shida zake unamtatulia…unfair kabisa
Unajidanganyaa weyeee!!!Kama ulishindwa kumtunzia basi hauna haki ya kumlalamikia
Rhabhekhaaaaaaa!!!!Wife material
All the best MadameKwakweli vita ni vita.
Choice ya silaha ni kulingana na mazingira
Na Je unahisi mumeo kampenda Uyo dadaKuna utofauti wa kula tu ukaondoka. Ila unajenga uhusiano kabisa mnakaa masaa 4 mnaongea, mnataniana, unamjua kiundani, shida zake unamtatulia…unfair kabisa
Kwamba katika miaka 10 tuliyokuwa pamoja tangu huyu binti ana miaka 10 furaha alikuwa anapata wapi?
Wanaume acheni ubinafsi jamani
[/QUOT
Yan naumia utafkiri nimechitiwa Mimi nawaza siku mume Wangu akinicheat nahisi nitakata moto
Mumeo akigundua mnawasiliana ma ex hatokusamehe Na Uyo ex anaweza kuharibu ndoa yakoUshenzi hakufanya na mie. Alifanya na wengine nikaujua.
Ni mwezi mchanga i agree lakini ni mtu loyal sana na ananijali.
And for the record, mi sijamganda huyu bwana. I am just not stupid enough kuacha familia tuliyojenga ivunjike kisa ameamua kugusanisha vikojoleo huko nje.
Usipoangalia soon utavunja ndoa Na Uyo ex talaka itakuhusuSijakulana nae but if i do…if I do…ni yeye atakuwa amenipush huko. Every action has an equal and opposite reaction
Soon utamcgeat mumeo Na exNini sasa??😄
Lakini mi huyu ex sio kwamba nawasiliana naye kila siku. Hapana. Wala hatuko karibu.Usipoangalia soon utavunja ndoa Na Uyo ex talaka itakuhusu