Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,877
ahahaa shidahahaha, ngoja nimuulize mleta uzi kama ana matawi mengine nje ya "Daa"? hahahahah
ahahaa shidahahaha, ngoja nimuulize mleta uzi kama ana matawi mengine nje ya "Daa"? hahahahah
Daah kweli umetoka mndenyi. Akijibu kama ina msesewe naomba mwambie nataka lita nneasante mkuu inamsesewe?
Sawa mkuuDaah kweli umetoka mndenyi. Akijibu kama ina msesewe naomba mwambie nataka lita nne
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Mku Lita bei ganikwa wale wapenzi wa mbege waliopo dsm nasambaza hadi nyumbani.utalipia nauli.
oda inaanzia lita tatu
imepikwa kwa usafi wa hali ya juu.
karibuni
Mku umenikumbusha mbali kuhusu Msesewe ambayo Mjerumani alituletea kama dawa ya amwaiba.Daah kweli umetoka mndenyi. Akijibu kama ina msesewe naomba mwambie nataka lita nne
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Unapatikana wapi...???kwa wale wapenzi wa mbege waliopo dsm nasambaza hadi nyumbani.utalipia nauli.
oda inaanzia lita tatu
imepikwa kwa usafi wa hali ya juu.
karibuni
Yenye msesewe ni kali sana....Balaa lake uchanganye na hiyo Serengeri au Safariasante mkuu inamsesewe?
hiyo ndiyo nzuriYenye msesewe ni kali sana....Balaa lake uchanganye ni hiyo Serengeri au Safari
Nani kasema mbege ni chafu?uwe unaheshimu vinywaji vya watu..kama ww unakunywa imported pambana na hali yako waache wanaokunywa mbege zao waenjoy....
Pombe inachemshwa kwenye mapipa migombani au unakataa eti si pombe chafu. Si sawa na chibuku tuuNani kasema mbege ni chafu?uwe unaheshimu vinywaji vya watu..kama ww unakunywa imported pambana na hali yako waache wanaokunywa mbege zao waenjoy....