" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Kuomba msamaha kwa kauli unayoamini siyo kosa kuisema ,kuitamka hilo pia ni kosa.Ni vema huyo anayeona kakosewa angejitahidi avumilie kukosewa anakohisi siyo kulazimishana kufanya mambo ambayo wewe yameshakushinda." Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Huwa najiuliza, hivi sisi watu wa Kagera tulimkosea nn lakini maana juzi akiwa njombe katupiga tena BangoMshauri boss wako aombe radhi kwa kuwakwaza watu wa kagera!
[emoji377][emoji377][emoji377] ni hatari kwa Afya ya mwili na akili." Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Analinda ugali wake huyo." Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Hii ndio taswira ya profesa wa Tanzania, anatumia ubongo wake kuongea, halafu baadae anaenda kuomba msamaha kwamba nilikosea. I did not know, Prof. you are that f***h" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
umemalizaAombe radhi kwa kutamka neno la kitaaluma?!
Hivi daktari akikwambia unaumwa au kinywa chako kinatoa harufu utamuambia akuombe radhi?
Hit direct to the Ntonku
Prof. MKUMBO anafuata MKUMBO" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Huwa najiuliza, hivi sisi watu wa Kagera tulimkosea nn lakini maana juzi akiwa njombe katupiga tena Bango
Hawa ndio wale watu wakiwa nje ya chama huwa wanaongoza kwa hoja nzuri sana, wakihamia serikalini wako tayari kuyasaliti mawazo yao mazuri ili wale." Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo