Hapa ndo nasaka nipo kwenye process za talaka
Hahahahah...yan huyu dada yetu uliemuoa siku hio hio uliyoonjeshwa ni shidaaa....sijui kwanin ila kila nikiona avatar yako naona usanii tu...inawezekana wote mmekutana
We utaniua na hiyo miguu yako brenda,mi siyo msanii mke anayesubiri talaka ndo msanii
Aisee hii miguu ishakua kesi..au niweke macho sasa?
Mke wa Viol ni shida kubwa sana............
miss chagga ukisoma huu uzi utaanza kuniheshimu!!