IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,748
- 7,111
- Thread starter
-
- #61
hivi nyie bado amjakoma tu kuwaamini hao viumbe waliomsaliti mungu tena peponi kivulini unadhani atashindwa kukusaliti duniani tena juani...Jinga kabisa unamwachia demu wako kila kitu kwani una ndugu na jamaa wewe unadhani demu wako ni ndugu yako?!
sasa wewe nenda ukirudi usije kuja kulia lia hapa kuwa kauza kila kitu na kishaolewa
Ha ha ndio maana mmoja kanipiga biti kwenye uzi fulani...
Let me give up....
nakuonea huruma aiseee .. ila nenda ukirudi mpime tu kama mtakuwa bado pamoja lakiniNdugu zangu wana tamaa sana nawaogopa
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha.
Maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye
Jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseee!
Kumbe girlfriend, nilidhani mke. Huyo atavurugwa sana hadi tigo. Na wewe pumba kweli unamwachia funguo ya gari ili iweje mtu ambye unaweza sikua leo ameolewa. Kwenye ugelofrendi wenu unadhani upo peke yako kwa dunia ya leo, hujawahi kuwaza plan B yake ni nini, how if utakataa kumuoa leo unadhani ataanza kutafuta boyfriend mpya. Tumia kichwa yako vizuri sio kufugia nywele tu mkuu. Wanawake hawapo kama wewe unadhani wapo, ni zaidi.
Pia kuchapiwa girlfriend ni jambo la kawaida sana maana sio mkeo
Duh kwa hyo na mmeo akichapisha sawa tu
Kumbe Girlfriend!!? Mi najua mke, mwache na yeye abadili taste,Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha.
Maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye
Jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseee!
Swali la Msingi ana Umri Gan?
Ana mimba yangu