Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

Status
Not open for further replies.

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,738
Reaction score
7,084
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha.

Maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye

Jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseee!
 
Akitoka kukisindikiza airport hata kabla hujatua huko unako kwenda break ya kwanza ni nyumba ya kulala wageni. Hahahahaaa bora uahirishe tu safari maana hakuna namna nyingine.
 
Mimi pia nakujua, nafukuzia ule mzigo wako! Kuchapiwa lazima, sasa akiwa na mahitaji ya kimwili unamshauri afanyaje? Ndo tatizo la kuoa waliopitiliza! Angalia sasa.
Mi nakujua wewe, laivu na mkeo ananijua ila sio sana. Nashukuru umetoa taarifa hizi kwa public.
 
Dah! kaka una moyo sana! yaan unakabidhi vitu vyote ivyo kwa mwanamke? hujawah kutendwa nn? tena dem wenyewe yuko chuo!! nadhan kama na ww umepitia chuo unayajua vzr maisha ya chuo, tuulize wenzio yaliyotukuta hata hao wanaojiita wanachuo hatuna ham nao, ilibaki kidogo tu niue
 
Akitoka kukisindikiza airport hata kabla hujatua huko unako kwenda break ya kwanza ni nyumba ya kulala wageni. Hahahahaaa bora uahirishe tu safari maana hakuna namna nyingine.

Nina mawazo tu hapa njiani nikitembea naye wahuni wanaacha shughuli zao wanamuangalia akiwa peke yake ndo kabisaaa ksi ksi ksi haziishi
 
Dah! kaka una moyo sana! yaan unakabidhi vitu vyote ivyo kwa mwanamke? hujawah kutendwa nn? tena dem wenyewe yuko chuo!! nadhan kama na ww umepitia chuo unayajua vzr maisha ya chuo, tuulize wenzio yaliyotukuta hata hao wanaojiita wanachuo hatuna ham nao, ilibaki kidogo tu niue

I trust her
 
Yaani uache kwenda kusaka doo kwa ajili hiyo, mbona wengine wanaishi nao na wanachapiwa, kama hamna hamna tu
 
Mkuu cha msingi ni kumuandaa huyo mwanamke kupambana na vishawishi.

Kumjengea uwezo wa kuwa mwaminifu, na pia kuwa mvumilivu katika kipindi chote ambacho haupo.

Jaribu kumuonesha upendo na mapenzi ya hali ya juu kwa kipind kifupi kilicho baki.

Ukiwa mbali, huko nje... jaribu kuwa na mawasiliano nae ya karibu.

Usijifanye unamchunguza chunguza saana, utaharibu.

Kila la kheri mkuuu, ila lazima uelewe kwamba hata ungekuwa na msichana mkali vip lazima kuna kipind hauta kuwa nae benet. So lazima mjenge dhana ya uaminifu na pia kushinda vishawish
 
Mfiche kwenye suitcase uende naye. Na ukifika majuu uwe unamficha kwenye wallet.

Kwani kuchapiwa lazima uwe Ulaya??
 
Mkuu cha msingi ni kumuandaa huyo mwanamke kupambana na vishawishi.

Kumjengea uwezo wa kuwa mwaminifu, na pia kuwa mvumilivu katika kipindi chote ambacho haupo.

Jaribu kumuonesha upendo na mapenzi ya hali ya juu kwa kipind kifupi kilicho baki.

Ukiwa mbali, huko nje... jaribu kuwa na mawasiliano nae ya karibu.

Usijifanye unamchunguza chunguza saana, utaharibu.

Kila la kheri mkuuu, ila lazima uelewe kwamba hata ungekuwa na msichana mkali vip lazima kuna kipind hauta kuwa nae benet. So lazima mjenge dhana ya uaminifu na pia kushinda vishawish

Ahsante mkuu kwa ushauri mzuri
 
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee

I like the creativity.
 
Ile ngoma ya Crazy GK Sister Sister ina sentensi moja inasema. " ujana ni maji ya moto, wenye fedha wakamuadaa akili yake wakaiteka" ona sasa anawayawaya.

Mkuu kama unamuamini shori wako, endelea kumuamini tuu ili maisha yasonge, ukitaka kuchimba ndani saaana utajikuta unaghairi hiyo safari. Mpende na umuamini mambo ya kuchapiwa vumilia tuu, kama akiamua kukulishia kwa wengine hata usiposafiri atakulishia tuu.

Anyway huwezi jua mda huu tunajadili hapa lecturer yupo juu anapumua ili ampasishe somo!!!!!!!!! Hahahahagagagahahahaha jokes mkuu fredericko usije pinduka huko safarini..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom