NASA vs Jubilee

mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,924
2,000
Kutokana na mpambano mkali wa uchaguzi nchini Kenya nilazima NASA na Jubilee wote wajiandae ki psychologia. Jubilee awetiyali kuachia madaraka na NASA kukubali kushindwa kama ikitokea kutokana na wote kuwa na idadi kubwa ya watu. Ila naona kama hawa wa 10 million strong wanaweza chukua nchi kama uchaguzi utakuwa fair. Sababu nikwamba watu wanao wakubali niwale wahali duni nando wengi Kenya. Pili jubilee wanaonga sana mashabiki wao T-shirt na pesa kwa hiyo wapo nao kimasilai. Kwa sasa naona Jubilee pia wanaongelea sana nusu mkate. Hizo ni dalili za kushindwa. Lakini kutokana na Jubilee kushikilia mpini wanaweza kupindua matokeo. Nasikia wamesha anza kufundisha wasimamizi wao jinsi yakuiba kura. Pia hiyo kampuni yakutengeneza karatasi za kura uko Dubai inakashifa yakuiba kura nchini Zambia napia inamausiano ya karibu na Kenyatta family. Nasikia IEBC wanampango wakwenda Dubai. To do what??
IMG_20170622_222847.jpg
IMG_20170622_222909.jpg
IMG_20170622_223147.jpg
IMG_20170622_223124.jpg
IMG_20170622_223124.jpg
 

cadabraa

Senior Member
Oct 7, 2015
156
250
Uzi mzima umejaa story za NASIKIA kwani hukuwa na kingine cha kuandika..kaa chini ufanye tafiti halfu uje uandike fact lakin kuandika vitu unavyohis..havina mashiko
 

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
3,798
2,000
Kutokana na mpambano mkali wa uchaguzi nchini Kenya nilazima NASA na Jubilee wote wajiandae ki psychologia. Jubilee awetiyali kuachia madaraka na NASA kukubali kushindwa kama ikitokea kutokana na wote kuwa na idadi kubwa ya watu. Ila naona kama hawa wa 10 million strong wanaweza chukua nchi kama uchaguzi utakuwa fair. Sababu nikwamba watu wanao wakubali niwale wahali duni nando wengi Kenya. Pili jubilee wanaonga sana mashabiki wao T-shirt na pesa kwa hiyo wapo nao kimasilai. Kwa sasa naona Jubilee pia wanaongelea sana nusu mkate. Hizo ni dalili za kushindwa. Lakini kutokana na Jubilee kushikilia mpini wanaweza kupindua matokeo. Nasikia wamesha anza kufundisha wasimamizi wao jinsi yakuiba kura. Pia hiyo kampuni yakutengeneza karatasi za kura uko Dubai inakashifa yakuiba kura nchini Zambia napia inamausiano ya karibu na Kenyatta family. Nasikia IEBC wanampango wakwenda Dubai. To do what?? View attachment 529081 View attachment 529082 View attachment 529083 View attachment 529084 View attachment 529084

Mjinga wewe.
Kwanza, Jubilee haijaongelea nusu mkate, ila imeonya Raila hapati nusu mkate wakati huu.
Pili, IEBC inachapishia ballot papers Dubai. Karatasi za kura zimechapishiwa nje ya nchi kutoka zamani.
Mwisho, Uhuru will be president until 2022. Chenye unaona sasa ni zile ngurumo za Raila za kila miaka tano.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom