NASA 'Unprecedented' mission to touch the Sun

NASA 'Unprecedented' mission to touch the Sun

Wakati Marekani wanaenda kutouch jua sisi bado hatujaweza kutouch madini, gesi na mafuta yetu ila hatujambo katika kutouch papuchi![emoji53][emoji53][emoji53]
Tumejitahidi mkuu
Tumewatouch wapinzani,
 
BBBDzUd.img


NASA itatoa maelezo baadae wiki hii kuhusu mission yao ambayo haijawahi kutokea katika historia, ya, "Kuligusa Jua" Itakayoanza katikati ya mwaka ujao.

The US Space Agency (NASA) is planning the historic mission of the spacecraft Solar Probe Plus, which will be the first to enter the Sun’s atmosphere. No other human construct has ever reached the point of “touching” our star.

The mission, Solar Probe Plus, will launch in summer of 2018 and marks the agency's first mission to fly into the sun's atmosphere. Data collected during the mission is expected to improve forecasting of space weather events that impact life on Earth and the lives of astronauts, NASA said in a statement.

"Placed in orbit within four million miles of the sun’s surface, and facing heat and radiation unlike any spacecraft in history, the spacecraft will explore the sun’s outer atmosphere and make critical observations that will answer decades-old questions about the physics of how stars work," NASA said in a statement.
Jua ndo jehanam(motoni), tumefichwa ktk vtabu [emoji16]
 
yes, we are 92 million miles away and sun can burn your skin, imagine being just 4 million miles close to it;


We're 92 mil miles away na joto fukutu la Dar huwa likikolea hufika mpaka 110° F
4 mil miles away from the sun the spacecraft will have to withstand close to 2500°F but...the inside of the spacecraft will remain at a comfortable room temperature.
Ina maana hata wangeweka mtu humo ndani ya chombo angekuwa salama?!!
I just envy maendeleo ya wenzetu.
 
Namuona US Bingwa Wa propaganda kutishia Wenzie tu, US ana kitengo Cha Mind control ktk Intelligence agencies zake kwa Purpose ya Kufanya Aogopwe tu Marekani kila Uchao ni kuamka na Technology hii mara ile kitu ambacho kiuhalisia hakuna au ni improvement kidogo tu
 
Iqram you're right, ni uzushi kwa yule ambaye hajaangalia hata details za mission yenyewe.
 
hyo spacecraft yao haiwezi kufika lilipo jua


Jack spacecraft haiwezi kufikia jua lilipo but umekubali the mission is possible right?..
The spacecraft will get into the sun' atmosphere and the way it's designed, the inside will be comfortable enough hata kuweka kiumbe. Sema chombo kitakaa huko miaka kadhaa.
 
Back
Top Bottom