njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,776
Haya yetu macho wakirudi mishkaki tunawakatia kachumbari jua mchezo! !
i think the critical and key information there is that, probation will take place 4 million miles away for sun and even that feature is impressive to say the least - and by the way, kuna documentary nyingi on youtube zinaonyesha how sun works, where the sources of energy and what keeps it going..
Sawa.ila sijajua wataenda na kifaa kipi na nguo zipi.maana ule moto si wa kawaida.Teh!, kabisa, huku ndio kuwa matawi. They're taking the word next level, to a whole New Level.
Watoboe tena uje huku ili muamke nyie mazombiChondechonde wasije kulitoboa Jua wakatuletea moto hasa sisi huku Africa.
Sawa.ila sijajua wataenda na kifaa kipi na nguo zipi.maana ule moto si wa kawaida.
Nilizani NASA ya Kenya kumbe the real USA NASA![]()
NASA itatoa maelezo baadae wiki hii kuhusu mission yao ambayo haijawahi kutokea katika historia, ya, "Kuligusa Jua" Itakayoanza katikati ya mwaka ujao.
The US Space Agency (NASA) is planning the historic mission of the spacecraft Solar Probe Plus, which will be the first to enter the Sun’s atmosphere. No other human construct has ever reached the point of “touching” our star.
The mission, Solar Probe Plus, will launch in summer of 2018 and marks the agency's first mission to fly into the sun's atmosphere. Data collected during the mission is expected to improve forecasting of space weather events that impact life on Earth and the lives of astronauts, NASA said in a statement.
"Placed in orbit within four million miles of the sun’s surface, and facing heat and radiation unlike any spacecraft in history, the spacecraft will explore the sun’s outer atmosphere and make critical observations that will answer decades-old questions about the physics of how stars work," NASA said in a statement.
😀😀😀😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaogopa jua lisije likadondoka nini mkuu
Mkuu, ila kwa hili la kwenda anga za mbali sisi hatuko hata kwenye usindikizaji, tumeachwa kabisaIla wenzetu wako mbali sanaaa mpk inatia hasira. Africa sisi wasindikizaj tu.
Kabisaaaa yaniMkuu, ila kwa hili la kwenda anga za mbali sisi hatuko hata kwenye usindikizaji, tumeachwa kabisa
Kinapelekwa chombo, but still, kwa hilo joto wanaki dhibiti haswa.
"When closest to the sun, the probe's 4½-inch-thick carbon-composite solar shields will have to withstand temperatures close to 2,500 degrees Fahrenheit. Due to its design, the inside of the spacecraft and its instruments will remain at a comfortable room temperature."