Eng Nyahucho
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 688
- 1,152
Wakenya siyo watu wa mchezo-Mchezo aisee.., nimecheka sana, NASA (Muungano wa vyama vikubwa vya upinzani Kenya) leo walikuwa kwenye kampeni zao za kuwataka wapiga kura kujiandikisha huko Bomet..,
.., sasa jamaa wa NASA (National Super Alliance).., wanasema kwa sauti kabisa, wanataka pesa zao zirudi haraka sana.., pesa zipi unajua!?
Jamaa wanasema kwamba serikali ya Kenya ilichota pesa hazina.., za kufanya kampeni kwa nchi nyingine za Afrika wakimuombea kura Balozi Dr, Amina Mohammed ya kuwa "mwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika".., alishindwa..,
.., sasa jamaa wanasema ile pesa irudishwe haraka sana.., kwamba (kama) wameshindwa kuwashawishi Tanzania na Burundi, ili wapigiwe kura kwenye AU, (wanaweza vipi kuwadanganya wananchi waelewe), sasa wanasema ule mpunga urejeshwe haraka, umepotea bure, uje ujenge shule.., (mpunga wa kufanyia kampeni)