Habari wana MMU,
Kwanza poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa,
Ndugu yenu nimepoteza furaha yangu kabisa na sijui la kufanya ili nirudishe furaha yangu, nitakribani wiki 2 hivi sasa nimekuwa na tatizo hilo na apa ndipo nimeanzia kukiri ya kuwa kupenda ni maradhi ya moyo, katika pita pita zangu umu ndani siku moja nikakutana na maelezo ya binti anaetafuta mume.
Nikajikuta nimesoma kisha nikatoa maoni yangu nikaendelea na shughuli zangu, lakini nikawa kila nikikaa yale maneno yananirudia kwenye akili yangu nikajikuta na enda PM, nikamsalimu nikaanza kuchat nae apo tukaanza kufahamiana akanambia mahali alipo nikamjulisha pia mhali nilipo.
Tukaendelea hivyo takribani siku 3 siku ya nne nikiwa niko ofisini na bado yale maneno yake yanatesa akili yangu bila kujua kwanini ila yalikuwa yakijirudia sana kichwani kwangu, nikapigiwa simu natakiwa niende kikazi sehemu mkoa huo huo alipo uyo binti tena nahitajika haraka siku inayo fata, nikajiuliza hii ni nini? Ila sikujaji sana nikarudi PM na kumwambia binti yule nakuja huko kikazi naomba namba ili nikuone kama itawezekana akakubali nikafunga safari kwenda huko nikafika salama.
Nakumbuka ilikuwa Jumamosi jioni mara tu baada ya kufika ratiba ikabadilika natakiwa nifanye kazi usiku na asubuhi nirudi nilikotoka na sikuwa na namna ikabidi nimpigie binti nimwambie naomba nikuone leo japo ten minutes, kwasababu ratiba yangu imebadilika gafla na ninatamani nikuone akakubali akanielekeza alipo nikatafuta mwenyeji anipeleke wakati nataka kwenda nikajiuliza nimpeleke zawadi gani.
Wakati najiuliza nikaona Biblia zinauzwa pembeni nikajikuta nimependa nimpeleke hiyo na moyo wangu ukanisukuma kufanya hivyo ni iyo nazani ni mara yangu ya kwanza kutoa hela mfukoni kununua Biblia ninazotumia zote sikuwahi kununua kwa pesa yangu, nikaenda nikafanikiwa kufika nilipomuona yule binti nikahisi kuishiwa nguvu kabisa ni mrembo sijawahi kuona nikakaribishwa kwa ukarimu kabisa oooh sitakaa nisahau hii siku.
Kwakuwa nilikuwa nahitajika kuwahi sikukaa sana nilikaa kama dk 10 ivi nikaaga nikaenda kufanya kazi iliyo nipeleka na asubuhi sa 11 nikaondoka zangu kurudi mkoa wangu, siku ya Jumapili ila tangu apo aziwezi kupita dk tano sijamuwaza binti yule najaribu kumuweka karibu lakini ni mtu ambae yuko busy sana na kazi zake, ila nachat nae mara moja moja sana.
Hali hii imechukua furaha yangu yote na sasa naona inapelekea hata ufanisi wangu wa kazi kuanza kupungua hata marafiki nao wameanza kuniuliza unashida gani siku izi mbona kama auko sawa ila ukweli naujua mimi na nini kinanipa shida. Ila ukweli sihitaji kumchezea binti wa watu wala sio tamaa inayo nisumbua nahitaji mke serious.
Nishaurini ndugu zangu nifanyaje? Imenilazimu kutumia ID mpya.
Nawasilisha