Narudisha kikombe

Narudisha kikombe

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Mlevi alikutana na kundi la polisi katika majibishano askari mmoja akasema afande mpe chai, yule afande akamkata kofi mlevi mpaka chini,mlevi kuinuka na yeye akamkata afande kofi afande chini. polisi wakamjia juu mlevi we unampiga afande mlevi akawajibu si amenipa chai namrudishia kikombe
 
Daah!amefunika huyo mlevi,sasa afande,jaza hicho kikombe chai nyingine,sawasawa?
 
ohooooooooooooooooo, namuonea huruma kitakacho mkutaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom