Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,904
- 9,832
Kwa akili yako ya kuwaza uzinzi ndio maana unalipwa hiyo pesa, pengine ungejibidiisha ungeweza kuwa na kipato kikubwa sana. Wenzako hatuongei sana, do a math yourself $9700 one way x 15 kwa mwezi mmoja + mishe mishe zingine halali tofauti na wewe hopeless kabisa unajivunia magendo. I started from zero najua what I do. Pambana mzee.m 3.8 huo ni mshahara! ongezea na hela za magendo almost naweza piga m 6 kwa mwezi. Project nazosimamia huwezi elewa project moja inacost milion 400 na zipo zaidi ya 100.