Tanzanian lady
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 261
- 320
- Thread starter
- #41
Na me namshangaaNchi za mbali imekuwa KE UG,ZA?
Na me namshangaaNchi za mbali imekuwa KE UG,ZA?
amesema nchi za watu sio nchi za mbali..hata kenya ni nje ya nchiNchi za mbali imekuwa KE UG,ZA?

Kenya ni nchi jirani siyo nje ya nchiamesema nchi za watu sio nchi za mbali..hata kenya ni nje ya nchi![]()
![]()
![]()
![]()
Ni jirani ndio lakini ni nchi nyingine..nikiwa kenya nasema niko nje ya nchi ya Tanzania..kwa hiyo hata aliyepo kenya yupo nje ya nchi japo ipo jirani na TzKenya ni nchi jirani siyo nje ya nchi
Hapana nyie wadada wote ni waaminifu bhana...Babu inategemea ntu na ntu ntu lkn
Ughaibuni ndio nchi za watu?amesema nchi za watu sio nchi za mbali..hata kenya ni nje ya nchi![]()
![]()
![]()
![]()
Duh..hapa vip tenaHapana nyie wadada wote ni waaminifu bhana...
View attachment 592992
Ughaibuni si ndio nchi za nje huko lakini?? ambapo watu wapo...au ughaibuni mpaka uvuke Afrika uende ulaya, America,Asia au Australia?? kwani hata hapo Sauzi Afrika si ughaibuni eeeUghaibuni ndio nchi za watu?
Jo...tumwache ajieleze tusiharibu maana ya Ughaibuni.Ughaibuni si ndio nchi za nje huko lakini?? ambapo watu wapo...au ughaibuni mpaka uvuke Afrika uende ulaya, America,Asia au Australia?? kwani hata hapo Sauzi Afrika si ughaibuni eee
![]()

Haya aisee bbade...Jo...tumwache ajieleze tusiharibu maana ya Ughaibuni.![]()
Njoo tuu, wengine tunaenda Zimbabwe...
Note
Ukiona Nisan patrol inakuja nyuma yako, take cover au lala kwenye seat, huku sio safe ki vile Mkuu.

Tanzania one katika kutetea Nafasi yakeSawa karibu
Tanzania one katika kutetea Nafasi yake
Mwaka ukiisha wakupe hata medani au Nishani ya kuongoza.
Hahahap poa kamandaMwaka ukiisha wakupe hata medani au Nishani ya kuongoza.
Si mchezo