Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,202
- 6,541
Never!Hujamcheat mchumba??
Sema tu sitamwambia...
UghaibuniUlikuwa nchi gani?
and this is for you.
Mbona hamna nchi inayoitwa ughaibuni ladyUghaibuni
Labda kama umebadilisha siyo ile nnayoijuaNilibadili mwandiko usikii perfume kwenye mwandikl hapo.
Mimi ndiye.
Nafahamu hivyoMbona hamna nchi inayoitwa ughaibuni lady
nchi gani sasa RUSSIA, UK.,US, KENYA, UGANDA,ZAMBIA AU..Nafahamu hivyo
Uchokozi sasa. ....nchi gani sasa RUSSIA, UK.,US, KENYA, UGANDA,ZAMBIA AU..
Wala hata..nahitaji tu kujuaUchokozi sasa. ....
Hahahah wasi wasi wako tuMhhh....
Ngoja mi na shemeji tumwachie Mungu...
North Koreanchi gani sasa RUSSIA, UK.,US, KENYA, UGANDA,ZAMBIA AU..
Ndo hivyo... ni heri uamini Mungu yupo ukamksoe kuliko uamini hayupo afu ukamkute...Hahahah wasi wasi wako tu
Anavyoniamini sasa hana was
Nchi za mbali imekuwa KE UG,ZA?Wala hata..nahitaji tu kujua
Hapa najua sound tu..ila poaNorth Korea
Babu inategemea ntu na ntu ntu lknNdo hivyo... ni heri uamini Mungu yupo ukamksoe kuliko uamini hayupo afu ukamkute...
Tunalazimika kuwaamini ili tusife kwa kihoro...
HahahahaHapa najua sound tu..ila poa![]()