Narudi nikiwa unstoppable

Ukipendezaga unaweka nyuzi kwa mkupuo sana bwashee

Halafu nyuzi zenyewe sasa πŸ€¦β€β™€οΈ
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, sema uzuri mmoja naweka chitchat bwashee 🀣 wanaodisi ni magoigoi tu wasio jua dhima na jukwaa sahihi
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, sema uzuri mmoja naweka chitchat bwashee 🀣 wanaodisi ni magoigoi tu wasio jua dhima na jukwaa sahihi
Hivi huwa ukijirudi huwa unajiona je kwa mfano?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, sema uzuri mmoja naweka chitchat bwashee 🀣 wanaodisi ni magoigoi tu wasio jua dhima na jukwaa sahihi

Naqubali bwashee

Niliweka uzi chit chat kwamba nimeona ng'ombe juu ya bati wadau hawakutaka kunielewa kabisa 😁
 
Nitaenda na wewe hivi hadi ukae mkao wa kula, haiwezekani the entire sukumagang inaharibiwa taswira na mtoto mdogo namna hii.
Halafu humu jukwaani hakuna mzee, wala hatusalimiani shkamo! Hapa wote ni wakuu!!
I knew utakua wise enough kujua my tabia of kujitapa is mine na haina shida yoyote kwa member humu.

Haya mkuu, mimi kwa bahati mbaya sifanyi ligi na mtu yoyote tena.

I'm just being me. Kama kuna mtu anaumia it's their problem
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…