Narudi nikiwa unstoppable

Elevenn kwa mbwembwe na nyuzi zako za aina hii utapachoka na kupachukia humu mapema sana. Lete hoja ujibiwe kwa hoja au anzisha mijadala watu waijadili. Sio hii misifa unayoiandika humu .

Walikuwemo wakina Chief God love walisanda mapema tu 🤣🤣🤣

Utapachoka na kupaona pachungu humu
 
Sasa chief godlove na mleta mada ni Shekhe yuleyule tofauti kanzu tu🤣
 
Ukiangalia nyenzo za post zangu ni kujiongelea mimi... Kwanini wewe mtu usiyenijua uumie? Is there any word I said that triggered any form of insecurity in you?

All I said was how I think I am.. If you feel pain then it is not my concern..

Mimi ni mimi... Sidhani kama nitachoka kusema kile nataka. Yaani kuwa mimi nichoke kweli? Ningalikuwa na Fake maisha hapo sawa.
 
Ndio huyo huyo mrembo fulani hivi.

Kaamua kubadili ID.
Hakika una hali mbaya sana wewe mchoko.
Nenda ukafanye Confession kule fb kuna magroup kabisa special kwa ajili yenu
 
Daah una madini sana mzala safi sana aisee huwa napenda ku interact na watu vichwa ndio chakula ya ubongo big up sana..
 
Chief God love wa Kyela au yale majina ya humu yule mnyakyusa wa Kyela alisumbua eti akataka kwenda Bungeni..
 
Laki tu? Mkuu how can I pay for something I know hainisaidii moja kwa moja?

Mimi siwezi kupay laki kwa kitu ambacho najua naweka hela yangu bure
Huna bro.

Pride uliyonayo. Ungekuwa na 100k ungekuwa ushalipia.

Pengine bado Hujui umejiaibisha kwa kias gan kuomba uplatinum bila kuwa na vigezo.
Na ukaambiwa basi lipia. Nayo Hauwezi.

Yaan sifa zote 2 za uplatinum hauna.
Ni aibu bro.

ephen_
Shosti ako atapandisha kisukari sasahivi 😊😊😊
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…