Lili kuwa swala muda tu si wakina Joanah binti kiziwi ephen_ The Icebreaker na ERoni wengine walikuwa wananichukulia point zangu muhimu..Naona mods wamekurudishia ID yako sasa
Nilikuwa nachukua points zako muhimu? Aisee!Lili kuwa swala muda tu si wakina Joanah binti kiziwi ephen_ The Icebreaker na ERoni wengine walikuwa wananichukulia point zangu muhimu..
Sasa nimerudi katika ukuu wangu, ain't no one will take me out of my throne π
NakusikitikiaLili kuwa swala muda tu si wakina Joanah binti kiziwi ephen_ The Icebreaker na ERoni wengine walikuwa wananichukulia point zangu muhimu..
Sasa nimerudi katika ukuu wangu, ain't no one will take me out of my throne π
Huwezi kukaa bila kutumissKwa lipi?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hance Mtanashati Mimi hupendelea kumwita Chuchu hans
ππππππππAu sio
Labda nikuulize, wewe unaweza kujianzishia uzi wa kufa? Mimi siwezi kwasababu hakuna kitu nafaidika kwenye ule uzi wala jukwaani
Sijaomba msaada wa kipesa kusema kwamba nataka hela zenu
Mimi sio mfanyabiashara humu kusema kwamba navuta attention ya watu ili wanifahamu nipate kuuza nachouza
Kuna pimbi mmoja Equation x nimeona comment yake leo ati anasema nataka kuua hii ID ili nifungue nyingine...which is pure bullshit
Huyu phaller Hance Mtanashati nimeshamzoea by default huwa anawashwa
Kuna huyu na camp konziKila uzi wake hukosiπ€π€π€
βKijana mchele mchele β