Narudi kinyume-nyume: Hodi hodi jamvini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Narudi kinyume-nyume: Hodi hodi jamvini!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 9, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Jamani habari za mchakato!

  Mimi ni mgeni kidogo JF.

  Nimeimiss JF. Tangu enzi za Uchaguzi mdogo wa Tarime.

  Nini kinaendelea hapa JF?
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Unarudi kinyume nyume kwani wee mchawi?? Maana nasikia wachawi ndio zao kurudi kinyumenyume. Inaonekana kama sio mgeni vileeee!!!!!!!!!! Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!! Nahisi ka umebadili jina na kujisajiri upya.
  Anyway, hapa JF mambo ni shwari. Kinachoendelea sasa hapa ni kampeni za uchaguzi mkuu oktoba 31, 2010.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  shhhhhh!!!
   
Loading...