Narudi kijijini

Bongo imejitahidi mkuu, Full Mkeka hadi bushi!
 
Nimekumbuka yale ya Kwenda kwetu yaliokuwa yanaitwa Bukwaya wakati huo.
 




Nilijuwa tu....Muhindi yuleeeeeee. Aisee hawa jamaa wana ukata kichizi na sidhani kama kuna wananchi wanaoishi maisha duni hapa duniani kama India. Hapa Bongo mswahili koko anona fahari kujiita muhindi, yaani basi tu ujinga?
 
Haya magari traffic akiyaona yanakuja anachekelea tu - riziki inajileta !
 
Umenikumbusha mabasi ya Mwafrika Iringa na basi la gereza la wafungwa Kitale Songea
 
wamelaaniwa



Unafikiri. Yaani kuna mdada hapa mtaani kazaa na half cast wa kihindi eti anaita watoto wake wahindi wakati hata huyo mumewe ambaye ni half cast wa kihindi huko India atambuliki. Yaani angejuwa kuwa hawa jamaa wana ukata kinona huko kwao sijuwi angesemaje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…