Haya chunga usioe mikono yako bureeee
Kuna tatizo gani mkuu, haya ni maisha tu na mwisho wa siku kila mtu ataamua maisha yake.
Puliii embukuwa nawewe tumekupa nasabuni za kutumia don't test dettol utaua kizqzi aka kizqziUna maanisha nn mkuu?
Hahahaha lux au protex??
atumie hata sabuni ya unga ili ababuke kichwa
Sijawahi date mwanafunzi in my life