Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,894
- 2,228
Kazi ya miamala inatakiwa kila siku upige hesabu, wewe unapiga kila wiki!Ninajitahidi kutunza mkuu, kila mwisho wa wiki napiga hesabu, then nakuta hasara, niko makini mfano, mtu akitoa elfu tano, nisitoe elfu 50 mimi, niko makini na namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya miamala inatakiwa kila siku upige hesabu, wewe unapiga kila wiki!
Sent using Jamii Forums mobile app