Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
- Thread starter
- #41
Hureeee! NIMEFANIKIWA wakuu... Nashukuru sana kwa msaada wenu wa hali na mali kwa jinsi mlivyo jitolea kunisaidia..
Mzalendo80,Mtazamaji,Crashwise,Payuka, na wengine wote mlio changia kwenye Thread hii, Mungu awabariki.Kwa yote,sina cha kuwalipa,bali Mungu atawalipa kwa njia msiyoijua...
Wenye umeme wameuchukua tayari, nilikuwa sijamaliza kuhamisha mafile yangu ndio nimepakia li Desktop langu kwenye gari kulekea sehemu yenye umeme ili nimalizie kazi yangu maana Report inahitajika kesho asubuhi...
I wish mnge kuwa karibu angalau niwashukuru kwa kinywaji na nyama choma, hope tutakutana kwanjia nyingine.
Kwa kweli nahisi nimepoteza zaidi ya kilo 2 kutokana na ili tatizo, na nimejifunza mengi sana..
Natamani kuendelea kuandika ila maneno ya meniishia, nadhani hii Thread itakuwa msaada kwa wengine.
Usiku mwema wakuu...