Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,439
- 17,919
Vilabu vikongwe nchini Italia, Juventus Turin, AC Milan na Inter Milan vinategemea kupata upinzani mkali na wa kweli toka kwa club iliyowahi kuwa na mchezaji boro kabisa kupata kutokea dunia hapa namaanisha Dieogo Armando Maradona. Napoli kilabu kilichomchuku aliyekuwa kocha wa muda wa chelsea, Rafael Banitez na ni kocha ambaye anamafanikio kuliko makocha wote wanaofundisha serie A kwa sasa. Napol wamefanya usajili wa maana kuliko vilabu vyote vinavyoshiriki serie A. Napoli inakwenda kumpata mpasia nyavu Gonzalo Higuani ambaye ataufanya mji wa nepol uzizime. Najua hizi c habari nzuri kwa ndugu zangu Gang Chomba na juve2012. Poleni sana naona ufalme wa serie A ukihamia nepol na kuachana na miji iliyozoeleka ya Turin na Milan.

baba ataendelea kuwa baba hata mama akinunua na kuvaa suruali lukuki atakazo.....!forza juve
mimi namwamini sana Banitez, anambinu mbadala, anajua kufanya usajili. Kumbukeni alipotoka pale mestella, na kuja Anfild, aliitengeneza Livepool na kuwa 1 ya timu kali barani ulaya.. Mourinho anadai mbona hakupata mafanikio akiwa na inter? Banitez amefanya kazi katika mazingira ya pressure alipojiunga na timu za inter na chelsea. Sasa pale napol atafanya kazi kwa kutulia na club imemwamini. Si kama
josse maurinho anajiita special one, mpenda sifa, anayetaka club tajiri, anayeshinda kwa nguvu ya pesa. Mkuu Gang Chomba, 2 fall 4 1 empire is 2 rise 4 onather! Hata pale england soka liliwahi kuweka kambi pale kwenye mji wa livepool. Sasa soka lipo manchester, london walie tu! Hivyo mkubali kuwa soka la italy litahamia nepol kutoka Turin na milan.
Mkuu mimi naona kama umeamua tu kujifariji...
Kuna utofauti mkubwa sana wa ufanisi wa Cavani na Higuain...
Cavani ni mchezaji mwenye uwezo wa kutafuta mpira, kutengeneza goli na kufunga goli...
Gonzalo ni mchezaji ambaye ili afunge goli inabidi atengenezewe mipira miepesi ya kufunga...
Nijuacho mimi Napoli pasipo Cavani, wata-struggle sana kuifikia hii pick waliyoifikia ndani ya hii miaka 3 iliyopita...
baba ataendelea kuwa baba hata mama akinunua na kuvaa suruali lukuki atakazo.....!forza juve
mimi namwamini sana Banitez, anambinu mbadala, anajua kufanya usajili. Kumbukeni alipotoka pale mestella, na kuja Anfild, aliitengeneza Livepool na kuwa 1 ya timu kali barani ulaya.. Mourinho anadai mbona hakupata mafanikio akiwa na inter? Banitez amefanya kazi katika mazingira ya pressure alipojiunga na timu za inter na chelsea. Sasa pale napol atafanya kazi kwa kutulia na club imemwamini. Si kama
josse maurinho anajiita special one, mpenda sifa, anayetaka club tajiri, anayeshinda kwa nguvu ya pesa. Mkuu Gang Chomba, 2 fall 4 1 empire is 2 rise 4 onather! Hata pale england soka liliwahi kuweka kambi pale kwenye mji wa livepool. Sasa soka lipo manchester, london walie tu! Hivyo mkubali kuwa soka la italy litahamia nepol kutoka Turin na milan.
Ok ni kuwa Banitez anakuja Italy kujiuliza...
Aliprove failure

Hahahahaaa, usajili aliofanya wa maana Liverpool ni Alonso na Torres tu na Alonso mwenyewe walikuja zinguana baadae, hiyo Liverpool ipo hapo leo hii kwa ajili ya usajili mbovu aliokua anafanya Benitez, yeye ndio sababu ya Liverpool kudrop kutoka big 4 kwenda cjui wapi, ask around!
Na kama unachosema ni kweli, hakuna aliyekua anamjua Mou before Porto wahajawa mabingwa wa Ulaya, hakuna aliyekua anawajua kina Deco, Carlos Albeto, Maniche na ndio alichukua nao UCL na washambuliaji wa bei chee kina Ben McCathy, tuambie alitumia pesa gani kule?
Hiyo Inter alitumia mamilion gani kuchukua ubingwa? Kama sio wachezaji waliokua wametupiwa virago na vilabu vyao kama Etoo, Thiago Motta, Lucio, Sneider, Millito, ambao ndio walikua nguzo ya ile team iliyochukua treble.
Benitez aliikuta Inter imesukwa vilivyo na hakuna hata mchezaj mmoja aliyekua kaondoka, kilimshinda nini kama ana hizo mbinu unazosema? Alikaa Liverpool muda gani? Mbona hakushinda ligi hata mara moko kama alivyobahatisha UCL?
Ukitaka kujua wewe ni kati ya watu wenye wivu wa kike na mvivu wa kufikiri hebu jiulize Jose Mourinho katokea wapi kwenye utetezi wako wa Napoli na Benitez wako?
Kwa namna nyingine unamfanya Mourinho kama model wa kukusaidia ku-analyse mafanikio ya bwa mdogo Rafa!
Rekebisha mkuu!!Rafael Banitez baada ya kuipa liverpool kombe la UCL na kuwa makamu bingwa miaka miwili baadae aliondoka na kwenda inter alikokaa kwa miezi 6 akifanya kazi kwa pressure, yeye ndio aliyeunda kikosi kilichochukua ubingwa wa UCL wakiwa na Josse "cha mlomo" Mourinho. Angalia usajili uliofanywa na inter mwaka 2010.
Kaka Zero hebu niambie mara ya mwisho Benitez kutwaa taji la ligi akiifundisha timu msimu mzima?huyu jamaa ni mzuri wa knockouts huenda tukapata upinzani Coppa Italia na Champions league lakini si serie a na wala si Juve au Milan watakaomshughulikia bali ni Parma,Bologna,Udinese na timu za aina hiyo huwa zinamtoa kamasi na hizo ndizo timu nyingi kwenye ligi.atashinda kwa Juve,Milan,Inter,Roma halafu huko kwingine kote ni majanga tu!
Rekebisha mkuu!!
Maurinho alikisuka hicho kikosi akachukua Champions League then akaenda Madrid. Benitez ndio akaletwa na Moratti baada ya Jose kuondoka, akakuta timu nzuri tu ya Maurinho, tena kama sahani ya pilau imeshapakuliwa bado kuiva na ikamshinda akatimuliwa