Napoleon's Oraculum and Dream Book

Napoleon's Oraculum and Dream Book

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,129
Salam wakuu,

Straight to the point, wangapi wameshawahi kukisikia hiki kitabu au kukipitia? Kwa ambao bado basi ni kitabu Cha ajabu haswaa, ambacho it can determine your fate...

It's an ancient book ambacho kinaweza kukujibu swali lako (hapa sema most of the questions are pre-set) lakini majibu yanakua na kama 98% accuracy. Needless to say more,
Kipakue hapa and use it at your own risk!

Kinajibu maswali yapi sheikh? Ya uumbaji, motoni au mbinguni?
 
Nimekiona the real original book of Napoleon ila sijakisoma in deep mana mwenye nacho kankatalia kuonfoka nacho, Wala kukipiga picha alichoniambia yeye mwenyewe kaachiwa na Babu zake so uwa akitoki nje ya apo nyumbani.
 
Hata kukipiga copy mwana kagoma alichoniambia hata nikikibeba sitaweza kukaanacho nyumbani lazima nitakirudisha kwa mwenyewe tu. Yeye ana original na copy pia lakini haswa Ile original kaiweka mana kwakukiangalia tu ni kitabu cha zamani Sana kwaiyo mostly anatumia copy and it works for real...alichoniambia nikuwa that book can even determine your future.
 
Mimi ndio nakitumia
IMG_20220714_083527_8.jpg
 
Hiki kitabu ni kweli hata mimi nakitumia na majibu mengine nayashuhudia kabisa
 
Back
Top Bottom