Nashukuru kwa ushauri kaka angu. Wanadamu wanaweza kukupa jakamoyo. Na wazazi wangu japo hawajawahi niuliza direct lakini wanavyozungumuza mimi ni mtu mzima nawaelewa. Inafika sehemu nashidwa kabia. Na tatizo kubwa nililonalo ni kutojihusisha na mapenzi directly kitu ambacho wanaume wengi nashidwana nao hapo.Pole m-dada....
Kwangu kwa umri uliotaja bado mbona u mdogo. Tamaa uliyokata ni kubwa saana kuliko umri. Vuta pumzi kuna wenzako wanaolewa kwenye 35 na wanazaa kwenye huo umri.
Kwa upande wa pili.
Unataka mwanaume je unajiweka kimtego mtego au bado unabehave kama mwanafunzi wa sekondari asiyehitaji mazoea anatunza bikra??
Wanaume tunachukia over protective women.. Siku hizi ni wanaume wachache wanaopoteza muda wao kuzungushana na wanawake wanaowapush.
nitakushauri haya.
1. Kuwa mwanamke, pendeza, ishi kwa tabasamu, watege wanaume bila kuwaonyesha unawatega.
2.Najua sio wote mmepewa sura na maumbo lakini wanawake wangapi wasio na sura na maumbo mazuri wameolewa? Mwanamke kauli, pendeza na uvutie.
3. Toa stress za kudhani ushapitwa. Hili linakutesa akilini. Sahau You are still young.
Yani fote 40 kabsaa kwa mwanamke mii sikubali kwa mwanamke punguza tena saaaUsipanic life begins at 40 ukiacha desperation wako atakuja ila sasa hivi ikikurupuka utaumia atajitokea mhuni akulize. God's time is the best loh , hafu zawadi ya maisha ni muhimu kuliko huyo mume unayemlilia ukiona case za wanawake kuhangaika kuwatuliza waume kuanzia kanisani had kwa waganga ungetulia tu upate sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukulia maneno ya binadamu positively. Wakikuuliza unaolewa lini usitfsiri unasimangwa ila wanakupenda wanataka wakuone kwenye ndoa yenye furaha.Nashukuru kwa ushauri kaka angu. Wanadamu wanaweza kukupa jakamoyo. Na wazazi wangu japo hawajawahi niuliza direct lakini wanavyozungumuza mimi ni mtu mzima nawaelewa. Inafika sehemu nashidwa kabia. Na tatizo kubwa nililonalo ni kutojihusisha na mapenzi directly kitu ambacho wanaume wengi nashidwana nao hapo.
Nashukuru kwa mistari uliyonipa nimeipitia hapa na nitazidi kuisoma pake niombapo.asante sana.Nimeishia sehemu uliyosema unajilaumu kwa nini hukufanya walivyofanya wenzako. Unaonekana umeingiwa na mashaka kama Petro. Pia huenda hujajibiwa kwa kuwa hujaandaa moyo wako katika jibu la Mungu ambalo liko tofauti na malengo yako. Umeshamwekea limit Mungu ya kwamba lazima mtu awe wa kusali jumapili. Badili ombi lako na uwe mvumilivu. Omba Mungu lakini usisahau kumalizia maneno yafuatayo, "mapenzi yako yatimizwe". Soma misitari ifuatayo. Isaya 48:17-18, Zaburi 32:8, Isaya 40:27-31.
Asipokuelewa hapa basi, hasa hiyo namba 4 na 6.Unaishi kwa ajili ya watu??usiombe kulea watoto mwenyewe dear..unaona ni rahisi kwa kuwa bado hujawapata.
1.unataka watoto wako waje kuishi bila baba yao kisa wti umri unaenda??tafakari.
2.unataka wasome katika mazingira magumu?
3.unaonekana unataka kuwafurahisha watu.ishi maisha yako.
4.inaonekana unafanya maombi yako kwa malalamiko.ni kama unamlaumu Mungu kwanini akupi unalolihitaji.kama unafanya hivyo acha mara moja.
5.Unataka kuolewa au kupata watoto kwa sababu marafiki uliomaliza nao chuo au unaofanya nao kazi wana watoto au wameolewa.nakusisitiza ishi maisha yako wewe hayo unayoyalazimisha yawe wakati muda wake bado,,utakuja kulia jua likiwa linawaka na usiamini.
6.usithubutu kuzaa na mume wa mtu mpendwa.kabisa usithubutu utakuja kulia machozi ya damu.bora uzae na mwanaume ambae hajaanza kuwa na familia,familia yako ndo iwe ya kwanza.
Mume wa mtu utazaa nae lkni ikifika jioni huyoooo kwa mke wake anakuacha bado unamuhitaji.atakuwa anakuona kwa kificho kwa sababu anaipenda familia yake ya kwenye ndoa.
Muda wako utafika tu usiishi kwa kufuata maishi ya watu kuwa wewe.punguza haraka.ulishawahi kujiuliza kwanini ulimuomba Mungu akupe mume na kazi lakini akaamua kukupa kazi na sio mume na vyote uliviomba kwake?????shukuru kwa kila nyakati unayopitia hutoamini majibu yatakayotoka hapo.
Naomba niishie hapa.uwe na wikend njema mpedwa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ina tatizo ganiHii post hii post!!
Acha ujinga basUmri wako unaenda hapo utaishia kupata hao hao waume za watu na mwisho utafanyiwa kitu mbaya na wenye waume zao,na ukipata mwanaume asiye na mke atakuja kukupiga pesa na kusepa so take care utashangaa unazeeka tu kwa maelezo zaidi njoo PM
Mbona umri wa kawaida jiloga kuzaa hujaolewa utaanza kuwa single mom ambao ni mtihani mgumu kulea mtoto bila mzazi mwingine, hafu jichunge kwa huo udesperate wanaume watakutumia nakusepaSasa hivi naona kama umri unaenda sana hivyo nahofia kukosa mtoto kabisa. Tatizo kubwa nililonalo ninapenda sana watoto na kwa sasa namhitaji kuliko ninavyoweza zungumza.
Kama wa babako sio!?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] sio mdg bhana...azae tuuHongera kwa kujitunza. Usihofu sana. 32 bado mbona!? Nipe nambako pm nikupigie
Sent using Jamii Forums mobile app