Napitia katika changamoto kubwa

Dada pole na hongera kwa kuishi vizuri kwa hofu. Wenzake tulianzaprimary kula vitu machakani, mchangani nk. Saizi wakubwa tumetulia. Uliyonayo ni shida ujue. Ulikuwa mbishi sana yaelekea. Jitahidi kusaka ila usiwape bodaboda taf!! Watakuridhisha mapenzini ukasahaulishwa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du! Ungempata ambaye naye hajawahi mkaanza pamoja Ingekuwa poa sana. Na kwa umri wako kumpata adiyeoa naye atakuwa na shida nyingi sana. Nawe pia ukiolewa losibly utakuwa mtata sana kwa kitu wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamn Dabyyy[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana! Mungu yu mwema utapata tu mume wako. Karibu PM kwa Ushauri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada vipi? Sisi tunazunguka na watoto viunoni miaka na miaka hatuna pa kuwamimina halafu we unakuja hivyo? Watoto kibaao ninao. We fanya utaratibu nikupe one kick. Mapacha.
 
Mbona tatizo dogo sana hili. Njoo nikupe mtoto atakuwa wako wewe ukipenda hats wawili nitakupa. Pm zaidi
 
natamani ungekua mke wangu! cjawah date na mwanamke anayejielewa kama ww
 
Pole sana usikate tamaa kumuomba Mungu maandiko yanatuambia Mungu ana majibu mawili subiri na hapana silazimishe jibu lako subir Mungu atakujibu
 
Duh, sijui nimekuja kwa kuchelewa??? Dada ushafanikiwa?
 
Kwanza pole, siwezi kuhukumu, umetueleza upande wa mema yako ila hatujui kasoro zako kama binadamu wengine tulivyo. Sio rahisi bint tena mwerevu kama wewe, anaejiheshimu na kujitunza akose kuolewa na zaidi mwanaume wa kuzaanae. Jiangalie mwenyewe huenda kuna sehemu unakosea na ukipajua kila kitu kitakaa sawa.
 
Life begins at 40 means ukifikisha umuri huo uwe umejikamilisha kwa mambo muhimu ya kimaisha kama kuwa na familia yenye idadi ya watoto kikomo, yani huzai tena ila unalea na kusomesha. Uwe na nyumba, kazi ya kueleweka, labda usafiri, na vitu vyote muhimu ktk maisha ya binadamu ili maisha yasonge. Huu sio muda wa kutafuta mchumba yuko wapi, kazi iko wapi, nyumba iko wapi n.k.
 
too late! Mkuu haya tunayasema siku zote, 20's vijana wakija full mapozi vigezo vingi kama mlituumba vile....

Tumejua una bikira sawa!! ila kitu sitaki kuamini ni kwamba toka unaanza secondary hadi leo hakuwa masela waliokuzimia... so huenda ulishapishana na Gari la mshahara siku mingi...

Ona sasa uko desperate na am telling you ukikurupuka lazima utoe BOKO....meyBi Already coz nime comment late

kaa tulia endeleeza maombi but BADILIKA, huwezi badili situation kama bado una act the same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…