Napitia katika changamoto kubwa

Divorced man need a woman - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee cariha umenena vilivyo! Sidhan kama atapata ushauri mzuri kama huu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi naona kama umri unaenda sana hivyo nahofia kukosa mtoto kabisa. Tatizo kubwa nililonalo ninapenda sana watoto na kwa sasa namhitaji kuliko ninavyoweza zungumza.
Binadam wote ni wamoja dini ni miongozo tu kwakua unachagua dini ndo mana ila ungesema unaitaji mme hata mim ningekwambia tuonane tuyajenge serious,chamsingi cha kuzingatia ni upendo tu unawezampata unaefanana dini lakini msiwe na furaha ya mahusino,jingine kumbuka wewe umeshakua mtu mzima sasa unaitaji kujenga familia yako mambo ya kusema unaogopa kujenga uhusino na mtu usiyeendana nae dini kisa wazazi wako utachelewa sana fanya maamuzi yako chamsingi kuwajari tu wazazi ila wasikuchagulie mtu kwa kigezo cha dini au kabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee cariha umenena vilivyo! Sidhan kama atapata ushauri mzuri kama huu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Panic na desperation imefanya wengi wa feli na kujiharibia kabisa, huku duniani ukiweza kufanya kazi ukawa na kipato, afya njema na kusali na kuwa na matumaini utajiepushia na shida nyingi. Yani Mimi tangia nijifunze kuwa na Amani moyoni Nina furaha na matumaini na vtu huenda automatic mpaka nashangaa,shaachajaga kujiumiza ka kitu hakiwezekaniki na shubiria kwa imani bila kukata tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo PM mamaa Mimi nazalisha watoto magenius lakini swala la kukuachia itakua ngumu!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…