Jig saw fit
Member
- Nov 30, 2011
- 89
- 25
Wewe umeona kwa Lema? Hao wanaoumwa mwaka mzima mbona wanalipwa? Wabunge wangapi huwa hawaonekani Bungeni na wanalipwa? Muhimu ni kuwauliza waliotunga sheria na si kumuuliza Lema, Make Magamba hamfikilii kabla ya kuongea, Unaleta Mambo ya Nepi na Kadi wakati yeye Anamiliki ya CCJ.......
Hiyo ni sheria ya kazi kwa ngazi zote tu. Kama alikuwa hayuko kazini tokana na maamuzi ya mahakama, na kisha mahakama ikatengua maamuzi ya awali anapaswa kulipwa pesa iliyokuwa halali yake kama mshahara.
Hii ni haki yake. period
Nimeshasema alipwe mshahara posho za mafuta hapana maana kazi ilisimamisha sasa analipwa mafuta ya kwenda wapi na kazi ilisimamishwa? napinga posho za bure bure kwa mtu yeyote, CHADEM msimamo wao juu ya malipo ya ovyoo kama haya huko wazi, regea wabunge wa chadema kukataa poshoVIKWAZO
KWA HILI HUJAFUNGUKA VIZURI na kama ndo mtazamo wako sahihi hapa umeenda mbali na uhalisia ulivyo,kwani bwana lema sio kama alipenda kuacha kazi ya bunge nakufanya kazi za chama tu,baali ni ufuska wa watu wachache kwa mawazo yao pasipo kuona ukweli wa jambo.
Hawa bwana walijua jimbo wameshindwa kwa uhalali na kuamua kwenda mahakamani na baada yawatu ambao ni majembe katika maamuzi kugundua hilo ndipo wakashini9kiza mahakama kupindisha ule ukweli.hivyo basi mungu hapokei rushwa kesi ndo kama ulivyooona mwisho wake.
So lazima wakubali kwa hasala na faida zote za matapishi yao,ambapo ni shida kwa taifa na baado haijengi kwa wana arusha kwani lema hakufanya vitu vya msingi kwa wana arusha tangu kuondolewa kwenye uongozi wa jimbo.so usilaumu anaekimbia bali laumu anaye mfukuza.
kama hiyo ni sheri ya kazi na hata hili nalo LEMA halipwi kama hisani,ni sheria ya kazi ndiyo inayompa nafasi ya kulipwa hayo masalio.
Kama walivyosema wachangiaji wengine,sheria haipo inayoeleza mbunge aende jimboni kwa mwezi mara ngapi?kwa siku mara ngapi?kwa wiki mara ngapi?kwa mwezi mara ngapi?wa mwaka mara ngapi?
Ishu ni kupitia upya sheria zetu kwa ujumla na siyo kuanza kumnyoshea kidole mtu mmoja mmoja.
POST YAKO INGETAKIWA KUWA KAMA MFUMO WA SWALI! usaidiwe kuelimishwa.
Kama tatizo ni sheria mbovu, unapingaje lema kulipwa?
aiseeeeeeeeee babayangu kwanini usiende kupinga malipo ya dowans kwanza
Asante sana kiongozi, sisi vijana ndio tunaweza kuliweka ili taifa sawa, hawa tukihachana na huu mchazo kwamba tuna wanasiasa hatuwagosi, sisi tunatakiwa kuwa kama waamuzi tunasimama kwenye haki kwa manufaa ya nchi, lakini leo tunasimama kichama na kisiasa,Kuna mantiki katika hoja yako mkuu!!!!
Posho ulipwa kamai fidia ya ghalama furani za majukumu yako tena zinalipwa kwa kiwango sawa na hiyo ghalama, regea wabunge waliposema posho ziwe 350,000 kwa kikao watu walipinga kwa hoja kwamba hakuna hotel za bei kubwa hivyo dodoma, msingi ni kwamba posho aitakiwi kwenda kwingine ila kwa malengo usika, sasa hapa lema alisimamishwa hivyo hakuna cha kumfidia kwenye mafuta maana shughuli zake za ubunge zilisimamishwa, mshahara ni haki ya msingi ya mtu, hiyo ni pesa ya matumizi yake, POSHO YA MAFUTA imeelezwa ni ya mafuta ya ni mafuta ya gani lipi, sasa ugumu wa kuelewa hapo unatoka wapi?Bado nataka unijuze uhalali wa kulipwa mshahara ambao hajaufanyia kazi kama zilivyo posho.
Mkuu upo sahihi, marehemu Sumari (RIP) anakuw mbunge mpk anafariki wala kuapishwa hakuwah coz alikuwa mgonjwa,wala bungeni hata siku moja hakuwah kuingia, hata kampen alikuw anafanyiwa lakini hiyo keki alikuwa anaipata na hatukuona humu magamba wakinena lolote!
Tukiwaambia katiba na sheria mpya mnaleta porojo, mwisho wenu magamba utafika tu, c mmeshaanza kuona mautumbo yenu