Napinga kukamatwa kwa waliozesha Watoto!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Binafsi nafikiri kwa nchi kama yetu ingawaje ni kosa kisheria lkn pia siyo sawa kuwakamata na kuwafungulia mashitaka watu waliofanya hivi, kwa maana wengi wao hata hawaelewi kama wanafanya kosa!

Fikiria uende Mbugani huko Umasaini wao siku zote mtoto akishavunja Ungo basi yuko tayari kwa familia maana yake kuolewa hivyo basi hawajui kuhusu sheria za nchi ningeishauri Serikali badala ya kuwakamata hawa watu badala yake wawaelimishe kwamba ni kosa, wawape Elimu ya madhara ya kumwoza mtoto mdogo, hii itasaidia zaidi kwa maana wanaofanya hivi hawajui kingine zaidi hicho!
 
Ndo elimu yenyewe inatolewa kwa dizaini hiyo,unadhani wao ni weupe kichwani hawajui wanachofanya si sahh
 
Mleta uzi huu unazidi kujidhirihisha kuwa wewe ni mpumbavu namba 1
 
Mleta uzi huu unazidi kujidhirihisha kuwa wewe ni mpumbavu namba 1
 
Back
Top Bottom