Napinga Jakaya Kikwete kuwa kiongozi wa waangalizi wa Uchaguzi wa Nigeria, hana sifa hizo

Embu wasimtie Kikwete wetu majaribuni akaishia kutukanwa na wanaijeria,li nchi lao imejaa rushwa na ukiritimba mwingine
 
Africa inaongozwa na viongozi ambalo wengi wao madictator au wababe. Wanachotofautiana ni level tu... Yaani wao wanamuona huyo ndiye afadhari. Hukuona kwenye mgogoro wa Burundi eti wanampeleka Mkapa...Seriously!!?

Mbaya zaidi Mwenyekiti wao sasa ni El Asisi wa Misri.
 
Unauliza hirizi Tanga.
Mkuu wazee hao sio wahuni, ni waheshimiwa ambao wamefanya mengi mema kwa ajili ya Tanzania.

Tatizo letu wananchi huwa kila anayetuzunguka ni mbaya kasoro sisi wenyewe tunapoombwa tutoe maoni juu ya maisha yetu binafsi.
 
Narudia tena sina shaka na Nyerere na hasa hasa Salim Ahmed Salim, lakini sio hao jamaa zako bila kujali unawaamini vipi.
 
viwango stahiki si vingeonekana pale Zitto kabwe alipotaka kuwa mwenyekiti wa chadema,mbona aliishia kufurumushwa.

kaka agalia usiniharibie mood ya ushindi wa simba.

Zitto angekuwa mwenyekiti wa cdm nani angeanzisha chama cha ACT? Huo ushindi wa simba unajua ww, sisi tunangoja mechi ya ukweli Man U v/s PSG
 
Mkuu wazee hao sio wahuni, ni waheshimiwa ambao wamefanya mengi mema kwa ajili ya Tanzania.

Tatizo letu wananchi huwa kila anayetuzunguka ni mbaya kasoro sisi wenyewe tunapoombwa tutoe maoni juu ya maisha yetu binafsi.

Kama wamefanya mema mbona Magu kila siku anasema nchi hii tumeibiwa sana inamaana huwa anasema uwongo maana huwa anaongea kwa msisitizo sana kuwa tumepigwa sana na mikataba mibovu sasa ni nani hasa aliyehusika kama siyo hao marais waliotamgulia kwake.
 
View attachment 1020486

Huyu ndiye kinara wa kuharibu matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 , hakuna aliyesahau , alipandikiza watu wake kwenye Tume ya Uchaguzi ili kuwabeba wagombea wa chama chake, aliamuru kukamatwa na kuporwa kwa vifaa vya waangalizi huru wa uchaguzi ili kuficha matokeo halisi ili chama chake kibebwe na tume kwa njia za gizani , huyu ndiye aliyekataa Maalim Seif asiapishwe kuwa Rais Halali wa Zanzibar baada ya kushinda uchaguzi uliokuwa huru na haki tena mbele ya waangalizi wa kimataifa , akiwemo Rais Mstaafu wa Nigeria Goodluck Jonathan , dunia nzima ilifahamu kuhusiana na uporaji wa matokeo ya Zanzibar ambapo ccm ilianguka vibaya sana kuanzia , wabunge , wawakilishi hadi Urais wa Tanzania na Zanzibar kwa Unguja na Pemba

Mtu kama huyu awezaje kuteuliwa kuwa kiongozi wa waangalizi wa uchaguzi wa Jumuiya ya Madola ? wamepanga asaidie tena wizi wa kura Nigeria ? Mtu aliyeshindwa kutenda haki nyumbani kwake atafanya maajabu gani ugenini ? Aliyemteua alitumia vigezo gani , mbona iko wazi kwamba hana vigezo ?

Naomba kuwasilisha
sio uchaguzi wa maana ndio maana akapelekwa kikwete ni uchaguzi wa kiafrika tu
 
Kama wamefanya mema mbona Magu kila siku anasema nchi hii tumeibiwa sana inamaana huwa anasema uwongo maana huwa anaongea kwa msisitizo sana kuwa tumepigwa sana na mikataba mibovu sasa ni nani hasa aliyehusika kama siyo hao marais waliotamgulia kwake.
Mkuu mhanila, wizi upo dunia nzima kuanzia Canada mpaka Chile, kuanzia Norway mpaka Australia, pote huko ufisadi umejaa.

Unaweza kumsema Mkapa vibaya kuhusu IPTLlakini ndiye aliyeanzisha TRA na faida zake katika kuchangia uchumi mkuu kila mtu anazijua.

Unaweza kumsema JK vibaya kuhusu wizi wa kwenye halmashauri zote na mawizarani lakini kumbuka ndiye mjenzi wa ile muhimbili ya kisasa, kumbuka ndiye mhusika wa BRT, kumbuka ndiye alianzisha miradi ambayo JPM anaitekeleza.
 
Vibaka wa Kura Na Wabobezi wa Kuvuruga Uchaguzi kama Kikwete hawatakiwi Kupewa Nafasi ya Kusimamia Uchaguzi Mahali Popote Pale.

Kwa Hali ya Kisiasa NIGERIA MUHAMMAD BUHARI ameishiwa Pumzi mpaka Kufikia Hatua Ya Kutoa Vitisho kwa Wapinzani na Kuweka Ndugu zake kwenye Tume ya Uchaguzi lakini Upinzani makini(PDP) chini ya Incoming President ATIKU ABUBAKAR umesimama Imara na Tarehe 16 Kinawaka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1020486

Huyu ndiye kinara wa kuharibu matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 , hakuna aliyesahau , alipandikiza watu wake kwenye Tume ya Uchaguzi ili kuwabeba wagombea wa chama chake, aliamuru kukamatwa na kuporwa kwa vifaa vya waangalizi huru wa uchaguzi ili kuficha matokeo halisi ili chama chake kibebwe na tume kwa njia za gizani , huyu ndiye aliyekataa Maalim Seif asiapishwe kuwa Rais Halali wa Zanzibar baada ya kushinda uchaguzi uliokuwa huru na haki tena mbele ya waangalizi wa kimataifa , akiwemo Rais Mstaafu wa Nigeria Goodluck Jonathan , dunia nzima ilifahamu kuhusiana na uporaji wa matokeo ya Zanzibar ambapo ccm ilianguka vibaya sana kuanzia , wabunge , wawakilishi hadi Urais wa Tanzania na Zanzibar kwa Unguja na Pemba

Mtu kama huyu awezaje kuteuliwa kuwa kiongozi wa waangalizi wa uchaguzi wa Jumuiya ya Madola ? wamepanga asaidie tena wizi wa kura Nigeria ? Mtu aliyeshindwa kutenda haki nyumbani kwake atafanya maajabu gani ugenini ? Aliyemteua alitumia vigezo gani , mbona iko wazi kwamba hana vigezo ?

Naomba kuwasilisha
Unapinga wewe ni nani ,HOJA ZAKO (DHAIFUMNOO) MUFLISI, Dunia nzima inamtambua kwa uongozi wake uliotukuka, wacha roho mbaya, MWISHO WA UBAYA AIBU.
 
hakyamungu haka kazee kana nyota kali hatari,, pigeni majungu weee na mkawange kwenye mizimu yenu ila JK anajua kucheka na watu wacha akule vya watu.
 
hakyamungu haka kazee kana nyota kali hatari,, pigeni majungu weee na mkawange kwenye mizimu yenu ila JK anajua kucheka na watu wacha akule vya watu.
kama ukimpenda mtu kwa ajili ya sura yake basi nenda kanywe naye Chai - JK NYERERE
 
na ukimchukia mtu sababu ya mafanikio yake umefuzu hatua ya kwanza kuelekea kua mchawi nguli
Kumbuka kwamba hatuna shaka na umaarufu wa Kikwete nchi za nje , alishatembea mno , nusu ya urais wake aliutumia nje ya nchi , lakini hakufaa kuwa mwangalizi wa uchaguzi , hana hiyo sifa maana kishaharibu nyumbani kwake
 
vipi zile kesi 6,mlizoapa kumfungulia Wallace karia
Kiutaratibu ni lazima kuwajulisha FIFA jambo ambalo tayari limefanyika , tunasubiri majibu yao kabla ya kuchukua hatua zingine , isipokuwa kuanzia siku ile Chadema haitashiriki shughuli yoyote inayoandaliwa na TFF
 
Back
Top Bottom