Napendekeza, mwizi akiwa amevaa hijab asikamatwe!

Hilo vazi limeonyesha kuwa hata iwe mwizi, mlevi na mzinifu ukivaa Hilo vazi unaonekana we ni mtakatifu huwezi sumbuliwa watu Wa aina hiyo ni ruksa kuvaa hijabu linamsitiri mtu asionekane kuwa yu uchi.
 
Uchaguzi mdogo jimbo la igunga umenifungua macho na masikio na kuweza kutambua uelewa wa baadhi yetu, sijui kama ni makusudi au hisia tumeamua kuweka akili zetu pembeni. DC alituhumiwa na CHADEMA kwamba alikuwa anafanya mipango ya uchakachuaji. badala ya watu kuongelea tuhuma wanaongelea mavazi aliyovaa DC, hii inawezekana ni kutaka watu wasiongee ukweli ambao ni wizi wa kila uchaguzi unapofanyika na badala yake waongelee mavazi.

Kwa kuwa mavazi ya dini yanaonekana ni muhimu kuliko matendo ya mvaaji, napendekeza mwizi, fisadi, jambazi akiwa amevaa hijabu, kanzu au baraghashia asiguswe. Hata akionekana kwenye kamera za supermarket akificha bidhaa kwenye hijab asiguswe kabisa maana hilo ni vazi tukufu !!!

Nawakilisha wana JF
Hakika hijab ya Bi.Fatuma imetuweka sawa juu ya upeo wetu wa kufikiria.Wajinga na werevu wanajidhihirisha kupitia kisanga hichi.
 
Crap. Nenda kawaambie mbumbumbu wenzio uchafu wako huu! Kukamata mtu ndi kumdhalilisha na kutaka kumbaka?
Katukio kadogo kamewapima uwezo wenu wakuwafikiria. Wote mnaokomaa kuhusu hii hijab ya mualifu nawafananisha na jibaba la miaka 50 alafu linalilia kuvalishwa pampers.
 
jamani hivi ule nimtandio au hijabu mbona waislam tunataka kutumiwa kama mtaji wa kisiasa Je vipi kuhusu yule mbunge wa CUF mbona sikuona tamko lolote toka kwa jumuia za kiislam.Ma vipi kuhusu mauaji ya mwembechai ya waislam wenzetu? Vipi kuhusu mauaji ya ZNZ ya waislam wenzetu mbona hakukuwa na tamko. Je uislamu unaruhusu mwanamke kulazwa mahabusu moja na wanaume . Hebu tutafakari sio kudandia hoja kwa mbele kwani magazeti yataandika sana hili huku wakificha fumanizi la kada wao tena muislamu lakini hakukuwa na tamko lolote la kiongozi wa CCM kufumaniwa ambalo hili ni kubwa zaidi kwani linabomoa familia au hili limeruhusuwa kwenye uislam. Nadhani ile bajeti kwa vyombo vya habari inafanya kazi
 
Mimi ni mwislam lakini kwa hili waislam tuache kutumiwa na magamba, hule ni mtandio na si hijab.
 
Crap. Nenda kawaambie mbumbumbu wenzio uchafu wako huu! Kukamata mtu ndi kumdhalilisha na kutaka kumbaka?

Then this is rather a bullshit.! Real shit..hujajibu hoja ya mtoa mada hata moja, ni majazba tu yasiyo na msingi. Watu kibao wanabambwa supermarkets wakificha vitu kwenye hayo mnaita sijui gubigubi, acheni kutumia dini kuficha uozo wenu..
 
Hilo vazi limeonyesha kuwa hata iwe mwizi, mlevi na mzinifu ukivaa Hilo vazi unaonekana we ni mtakatifu huwezi sumbuliwa watu Wa aina hiyo ni ruksa kuvaa hijabu linamsitiri mtu asionekane kuwa yu uchi.

Ufaransa ukivaa hijabu Marufuku kutembea barabarani
 
Uchaguzi mdogo jimbo la igunga umenifungua macho na masikio na kuweza kutambua uelewa wa baadhi yetu, sijui kama ni makusudi au hisia tumeamua kuweka akili zetu pembeni. DC alituhumiwa na CHADEMA kwamba alikuwa anafanya mipango ya uchakachuaji. badala ya watu kuongelea tuhuma wanaongelea mavazi aliyovaa DC, hii inawezekana ni kutaka watu wasiongee ukweli ambao ni wizi wa kila uchaguzi unapofanyika na badala yake waongelee mavazi.

Kwa kuwa mavazi ya dini yanaonekana ni muhimu kuliko matendo ya mvaaji, napendekeza mwizi, fisadi, jambazi akiwa amevaa hijabu, kanzu au baraghashia asiguswe. Hata akionekana kwenye kamera za supermarket akificha bidhaa kwenye hijab asiguswe kabisa maana hilo ni vazi tukufu !!!

Nawakilisha wana JF[/QUOTE
lakini kumbuka kuwa maskini haibiwi kwa sababu moja tu hana, na ukimuona alalama kuwa kaibiwa chizi
 
Kwa hii picha - lazima niwa suport watu wa marekani.

Hiyo inaitwa nikabu. Kivazi hiki,kinatumiwa hasa arabuni hususani yale maeneo yenye ukame na kuwa jangwa.wakaazi wa maeneo hayo huwa wanalitumia vazi hilo kwa kujikinga na vumbi lisiwaingie machoni,puani n.k linalosababishwa na upepo mkali wa maeneo hayo.hili vazi si kwa ajili ya uchamungu bali kutokana mazingira yaliokuwanayo baadhi ya nchi za kiarabu. Vazi la ucha mungu kwa mwanamke wa kiislamu limeelekezwa ndani ya qur'uan tukufu sio kama hili la kujifunika uso mzima la. Vazi la kiislamu linamruhusu mwanamke wa kiislamu aache wazi uso na viganja vya mikono yake. Hilo ndilo vazi la kiislamu. Kuna mavazi mengine waarabu huyavaa kama sehemu ya mila na desturi zao. Sasa utakuta kwa wale wasiojuwa wanadhani kila vazi ambalo waarabu hulivaa basi ni la kiislamu na dhana hii hata waislamu pia hudhania hivyo kumbe sivyo. Kuna waarabu ambao si waislamu lakini ukiwaona utashangaa kakupigia kanzu,na kilemba safi kabisa yupo juu ya kiti kirefu anakata maji..
 
Crap. Nenda kawaambie mbumbumbu wenzio uchafu wako huu! Kukamata mtu ndi kumdhalilisha na kutaka kumbaka?

duh ya mtokayo mtu kinywani ndiyo yalioujaza moyo wake.moyo wako umejazwa na maneno kama hayo uliyoyatoa.pole sana
 
Then this is rather a bullshit.! Real shit..hujajibu hoja ya mtoa mada hata moja, ni majazba tu yasiyo na msingi. Watu kibao wanabambwa supermarkets wakificha vitu kwenye hayo mnaita sijui gubigubi, acheni kutumia dini kuficha uozo wenu..

Kweli waache kutumia udhaifu wa kutoijua dini yao kutetea uhalifu.Wale wanaojua dini kwa udani zaidi hawana noma na wanajua mtu akifanya kosa hata kama amevaa hijabu ni kumpiga kwa mawe hadi afe na ndiyo hicho mnachokililia kwenye mahakama ya kadhi.Muazishe na mtauana mno kwa mawe
 
Vijana wa cdm, next time mkimkamata nawaomba mumbake. Hilo ni vazi kama lolote. Lisiwatishe.
 
Nimeipenda sentensi yako hii. Kama hutamind naomba niiweke iwe signature yangu kwenye profile yangu ya JF, ila nitakuquote; "Kwa kuwa mavazi ya dini yanaonekana ni muhimu kuliko matendo ya mvaaji, napendekeza mwizi, fisadi, jambazi akiwa amevaa hijabu, kanzu au baraghashia asiguswe." Halafu haya mavazi ya kidini kama hijab au burka ni ishara tu za mfumo dume unaotumia dini kuzidi kuwatawala wanawake. Mimi ningekuwa na nafasi ya kisiasa ningepiga vita uvaaji wa alama zote za kidini kwenye public offices iwe ni rozari, au barghashia, au hijab;
Mkuu umeonyesha ukomavu wako ktk masuala yanayoitatiza jamii yetu ..... Na sijui ni kutoelewa au ni kwa makusudi. (Big up)
 
Natamani mahakama ya kadhi ingekuwepo nisikie hukumu ya hili swala watu wangechapwa viboko 80 pale Posta kwa kuudhalilisha uislam ! muhamadans bana matatizo matupu ,halafu mnajua sana kulalama huyo mungu wenu mbona hawatetei anawaacha mnaonewa tu!
 
Back
Top Bottom